Peacock hotels na unyanyasaji wa kijinsia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peacock hotels na unyanyasaji wa kijinsia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Timor, Feb 4, 2009.

 1. Timor

  Timor Member

  #1
  Feb 4, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Mambo haya yanatokea katika biashara za watu wengi binafsi lakini hili la Peacock Hotels linatisha,Awali wa yote mahusiano ya kingono baina ya mmliki hotel Joseph Mrangila Mfugale na wafanyakazi wa kike yanatisha na kutia aibu. Ni jambo la kusikitisha kabisa kuwa hotel hii inamilikiwa na kuendeshwa na mtu ambaye hakwenda darasani kabisa, akisaidiwa na watoto wake wenye hulka kama za baba yao. Sisi wafanyakazi wa kike tunapata mateso makubwa sana. Kwanza sharti ulale na baba halafu watoto nao wavinjari nawe kadri watakavyo.

  Hali hii ni ya muda mrefu sana kiasi kwamba tumelalamika kila kunakohusika hakuna wa kutusikiliza.Maslahi kwa maana ya mishahara tunayoipata hapa ni midogo sana,tena makato yetu ya pesheni hayapelekwi kunakopaswa huku tukikatwa kila mwezi.

  La kusikitisha tunalazimishwa kufanya ngono ili tusipoteze kazi. Ushahidi upo baadhi yetu wana watoto waliozaliwa na mafisadi hawa,Mwenyewe Bwana Joseph Mfugale, Mtoto wake Damas Mfugale, Mdogo wake Damas yaani Vitus na mdogo wake Joseph yaani Titus.Familia hii imetuzalisha kama wanyama wa porini,Hakuna huduma tunayoipata kwa ajili ya watoto zaidi ya mshahara wa mwezi tu.

  Kwa ujumla maisha ya ajira katika hizi hotel ni ya kusikitisha sana.Watu wengi wenye elimu zao mahali hapa hawakai kabisa. Huingiza mguu na kutoka kwa kipindi kisichopungua mwezi mmoja.

  Ujanja anaoutumia baada ya kuona janja zao zimefahamika ni kuwatumia wafanyakazi wa kigeni toka Kenya, A.Kusini, Zimbabwe, Uganda nk, Hata na wao hawakai muda wakiwagundua ufisadi wao.

  Lakini jambo jingine ni ufisadi wa kuiibia serikali kodi hesabu zinazotolewa hapa Peacock siyo za kweli, Kwani katika mfumo wa Computer kuna Peacock One na Peacock Two.Moja ndo ya kuonyesha TRA na nyingine ndo halisi mapato yanayopatikana.

  Naomba wana-JF NJOONI HAPA Mnazi mmoja au Millenium Tower niko tayari kuwapa data zenye details zote za hawa mafisadi mkazifanyie kazi .
   
  Last edited: Feb 4, 2009
 2. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa hali hii janga la ukimwi halita kaa mbali na jamii ya Watanzania...

  Lakini ni mahali gani haswa ambapo wa mandate ya kutatua matatizo kama haya?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hili la kukwepa kodi ni baya sana, sikutarajia lifanywe na wazalendo kama hawa. Nilikuwa naiheshimu sana hoteli hii kutokana na kuonekana kuwa ina mafanikio makubwa na inaendehswa na mswahili mwenzetu ambaye hajaenda darasani, lakini kama mambo yenyewe ndiyo haya, mh!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  -Timor, sijakupata vizuri hapa, baba kwanza halafu watoto wote unavinjari nao? Hili ni sharti au hiari?

  Malalamiko umeyapeleka wapi? Tunaweza kuanzia hapo

  Ni vyema isiwe kweli! Hotel yaonekana kufanya vizuri kwa sisi wapita njia, sasa tena hawalipi kodi na waendekeza IBENEKE - Nitapita siku moja hapo!!! Mungu akipenda niweze kupata ukweli
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hilo la kuliwa uroda mpaka unazalishwa nadhani unakuwa umekubaliana na huyo unayetembea naye. Si rahisi kama ni rushwa ya ngono mpaka unapata mimba 9 months, unajifungua ndio unalalamika kuwa hakuna matunzo, unless unataka kutuambia waana-JF kuwa hao baba za watoto wenu wamewakimbia na sehemu sahihi ya kulipeleka hili ni Ustawi wa jamii. Hayo ya kukwepa kodi sidhani kama yana ukweli maana TRA wamekuwa wakitoa matangazo kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezeshwa mkwepa kodi kutiwa mbaroni anapata 20% ya kodi itakayolipwa sasa inakuwaje huku unalalamika hampewi matunzo ya watoto kwa nini msiwachome TRA mpate mihela!!!???
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kutoa hukumu nzito kama hii ninashauri uchunguzi ufanyike kwanza.Kwa vyovyote vile manjata wa kitengo maalum TRA watakuwa wanasoma JF,ok guys fanyeni mambo yenu kisha muyaanike hadharani!
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli...basi aibu kweli kweli!

  Je kuna kosa la ubakaji? Au ni mapenzi ya hiari?

  Kwa nini mtu asiende polisi/mahakamani kama kuna kuzalimishwa?

  Halafu wewe mschana utakubalije kuwa na mahusiano na baba na watoto?

  Saa ingine dada zetu hujirahisisha ili kupata favour!
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tra wenyewe wanaiba kodi nenda pale kuna program wanatumia inaitwa asycuda ukitoa pesa kidogo wanakufanyia maujanja unalipa pesa kidogo unatoa unafanikiwa issue yako kule kwenye asycuda wanaandika vitu vingine

  nenda kampuni kama saba general wale wana programu moja ya mahesabu pale ofc yao iko hiyo tra hawawezi kuishitukia kwa sababu inatumiwa na champions fulani hivi ya kukwepa hizo hizo kodi katika bidhaa zao
   
 9. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Bado ninaimani kuwa haya mabilioni yanayodaiwa na TRA kukusanywa ufanisi huo unaodaiwa ni kutokana na ongezeko la thamani kwa sababu ya kupanda kwa bei za bidhaa mara kwa mara .lakini siamini ni kutokana na kunasa wakwepa kodi ambao naamini bado ni wengi sasna
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...pole sana Timor, ushafanya kazi muda gani hapo? niliwahi kuspend two nites hapo mwaka '07 nilipapenda sana,kama hayo ndio yanayotendeka nyuma ya pazia, mnh inasikitisha!! kinachouma zaidi ni hii quote yako...;
  ...Rushwa tupu hapo.
   
 11. M

  Milo New Member

  #11
  Feb 5, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada unatia aibu wanawake wenzako. Sasa kama wewe umesoma kuliko huyu mzee wa Peacock mbona hukutafuta kazi kwingine ambako hawaendekezi Ngono? Wewe hukwenda Peacock kuajiriwa, ulikwenda kutafuta mabwana na hao wenzako mliozalishwa na kama mnauwezo mzuri wa kufanya kazi. Hivi kweli wewe umesoma na unaujuzi wako usingekaa hapo na usinge kubali kulala nao at first place au na wewe ulijipeleka tu pale ukijua huna uwezo ndio maana wanakuchezea? Na kama huyu bwana hajasoma aliwezaje kufika hapo? Ni lazima tuwapongeze hawa mabwana wa Peacock kwa uzalendo wao na uwezo wa kibiashara. Ukumbuke kwenda darasani sio lazima uweze biashara, angalia kina Bill Gate(kama hata unawajua) ni drop outs. Mzee Mfugale amesomesha watoto wake vizuri na biashara yake itaendelea kukua. lazima tuwe wawazi..........mnyonge mnyongee, haki yake mpe!

  Naomba usome tena Ndugu Laligeni alivyo kushauri kuwa uelekee ustawi wa jamii kwani sisi wana-JF tunakabiliana na mambo muhimu na sio kupoteza muda kudiscuss mambo ya jinsi wewe ulivyo kuwa rahisi na hao wenzako na kuzalishwa na hawa mabwana. Swala la TRA tunaweza kuliangalia LAKINI, inaonyesha kuwa this is malicious,yaani ni uzushi unaojaribu kuwachafua hawa baba wa watoto wenu baada ya wao kuingia mitini hata ingekuwa mimi ningekutema tu. Kwa maelezo yako onaoneka/ mnaonekana nyie mliozaliswa kuwa na matatizo ya akili. Kwani wewe huogopi waume za watu. du halafu yule mzee ni mtu mzima anayejiheshimu katika jamii yetu. Ni vibaya kuzusha vitu kama hivyi. Kwa kuthibitisha uzushi wako, hii familia hauielewi. Vitus ni kaka wa damas na sio mdogo wa damas. Pia jina la mwisho la Mzee Mfugale umelikosea spelling. Hivyo inaelekea humjui baba wa mtoto/watoto wako na kwa kuwa unafanya kazi hapo umejiamulia kuwapa watoto/mtoto hao mababa hao. Dada Haujatulia.

  waswahili bwana ndio maana hatuendelei. Peacock ni hoteli ya wazawa ambao inaongoza kwa kufanya vizuri, TRA wangeshajua kama hawa mabwana wanakwepa kodi. Za mwizi arobaini, watapatikana tu. Hivyo wewe tulia na ukafanye DNA test ili ujue baba watoto wako kwani wewe unalala na kila mtu.

  Ushauri kwa Mfugales, next time when you recruit, please try and exclude these cheap uneducated staff who can dent your business.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  He he he he..Kaazi kwelikweli..

  Hivi mlipokuwa chemba mnapanga kubanjua amri za M/Mungu mliomba ushauri hapa JF? Sasa maji yamezidi unga ndo mnatuletea utumbo wenu huu?

  Ama kweli mshahara wa dhambi ni mauti, na wahenga hawakukosea waliponena mwisho wa uovu huishia kwa: 'Kumkosa mwana na maji ya moto unakandwa vilevile ..'

  '
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  .....Hilo la kuliwa uroda mpaka unazalishwa nadhani unakuwa umekubaliana na huyo unayetembea naye. Si rahisi kama ni rushwa ya ngono mpaka unapata mimba 9 months, unajifungua ndio unalalamika kuwa hakuna matunzo, unless unataka kutuambia waana-JF kuwa hao baba za watoto wenu wamewakimbia na sehemu sahihi ya kulipeleka hili ni Ustawi wa jamii. Hayo ya kukwepa kodi sidhani kama yana ukweli maana TRA wamekuwa wakitoa matangazo kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezeshwa mkwepa kodi kutiwa mbaroni anapata 20% ya kodi itakayolipwa sasa inakuwaje huku unalalamika hampewi matunzo ya watoto kwa nini msiwachome TRA mpate mihela!!!???

  MOJA

  mkuu laligeni si kweli kama unavyosema hapo juu,kwanza jua watanzania wengi wana shida ya ajira,pili ameelekeza kutokana na kulinda ajira bosi anamwambia ama amfanye kitu mbaya ama amwondoe kazini,,kama unashida utafanya ndugu yangu we unasema,,
  Pili nilifikiri utamsifia kwa kufichua uovu wa kutolipa kodi,,hata kama unadhiki uanweza kuipenda nchi yako kwa kuiachia hiyo asilimia 20...akuwa mjinga kuja humu kuwaatangazia kama jf mnaweza kutusaidia njooni sehemu fulani,tena wako mjini TRA wanatembea tu kwa mguu.....so tusiwakatishe tamaa watu kama hawa...

  TATU
  Swala la matatizo ya watoto hapa nako ni sehemu yake ,hakuna sehemu imeandikwa jf ni kuleta umbea ama sehemu ya kutukanana...kila mwenye shida tumwache awe huru....wangapi wamesaidiwa humu JF...nini watoto...hata kama huna moyo wa kuwasaidia toa maelekezo kama uliyoongea wapi pa kupata masaada na si kuwakatisha tamaa hapa si mahali pake,,wanamama hapa ndipo penyewe leten nondo tuchambue dagaa na pumba!!

  kumbuka mtemi ama chief A.LYUMBA ametembea na wanawake wengi tu hapa dar es salaama na wengine waweza kuwa dada zako ama gfrienda zako ama la basi hao wanaokucheat wana ma bfriend nje ,,ambao labda wana bibi katembea na mtemi wetu..so labda kwa kukuelekeza wanawake wengi wanafanya ngono si kwa mapenzi yao kutoka moyoni bali kwa shida ndizo zinazowafanya kuingi vitani kama hivyo kwa chief wetu we unafikiri lyumba hawamjui...wanajua ana ngoma toka miaka nenda rudi uliza walivyowachambua mabinti pale stanbic,exim,,anyway usipate pressha atuji kwako

  ombi.kama uuna msaada wasadie

  gday..
   
 14. j

  jimba Member

  #14
  Feb 5, 2009
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pole Timor, Lakini ninyi wenyewe mnajisikiaje kuwa wake wenza kutoka kwenye familia moja eneo moja na mkwe/shemeji hapohapo? Kama sijakosea bado mtakuwa mnafanya kazi hapohapo mpaka sasa hivi, mmeweza kuanzisha umoja fulani wa kujikwamua kiuchumi nyinyi na hao watoto wenu?
   
 15. Timor

  Timor Member

  #15
  Feb 5, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 15
  Narudi tena kuwaeleza ni wapi na wapi tulishapeleka malalamiko yetu na hayafanyiwi kazi.Kwanza kwa ngazi ya ofisi ni kwamba muda mrefu kumekuwa hakuna ngazi ya kuunganisha wafanyakazi na uongozi,kumekuwa hakuna Afisa Utawala,HR,Pili Mikutano ya wafanyakazi ni one way communications yeye mwenye mali aseme ttuuu sisi wafanyakazi tusikilize.Tena basi mara nyingi ni matusi ,kejeli na masumango kwenye vikao vyake.Hasa hasa anakandia wa-TZ tulivyo wavivu,wazembe na kuwatukuza wageni ambao daima amekuwa akiwalipa mapesa mengi tuu ,yasiyokuwa kwenye payroll yake,kuwakodishia nyumba za kuishi na magari. Huku wazawa hata uwe na shule ya jinsi gani mshahara wako ni ule ule wa kima cha chini. Kwa hiyo kwa ngazi ya ofisi malalamiko hayan pa zaidi.CHODAWU kwanza hakuna tawi lake pale na tulipohitaji kuanzisha mmoja mmoja aliitwa na kutishiwa kufukuzwa kazi. Kufukuzwa kazi hapa ni jambo la kila siku si kwa kukosa tu bali hata kwa kuwa na mawazo endelevu,kusema ukweli,kutokutii matakwa ya mwajiri maslahi yake binafsi. Tulipeleka malalamiko yetu CHODAWU Wilaya yalizungushwa hadi leo hii zimebaki simulizi tuuu. Mmoja wetu alienda mahakama ya kazi kwa malalamiko ya kufukuza kazi bila utaratibu nae aliishia kusaga viatu bila mwisho.

  Tumetumia vyombo vya habari kama magazeti ya Mwannchi, RAI, Majira kueleza kilio chetu. Ustawi wa Jamii alienda mmoja wa wasichana waliozalishwa na mtoto wake Kilichofanyika alitafutwa akaahidiwa pesa na kutafutiwa kazi kwenye wakala fulani. Kuna mlolongo mrefu sana wa matatizo ndani ya hoteli hizi.

  Ukweli kuendeshwa na mzawa sisi hatuna shida nalo, Ila mateso tunayoyapa, vitisho, masumango, Leo ukija hapa Hotelini hakuna mtu aliye radhi kukueleza yanayojiri ndani kwa kuhofia hatima yake.

  Ukwepaji wa kodi ni jambo la dhahiri kabisa kuna watu maalum wenye kulipwa vizuri Idara ya Uhasibu ili watunze siri hiyo. Wana -JF kama mnadhani naongea mambo yasiyo ya kweli,Yeyeto yule anayeweza kwenda TRA akachukua timu wa wapelelezi niko tayari kuwapa password ya Peacock 2-Computer system inayotumiwa kukwepea ushuru. Mimi nipo hapa hotelini pale mtakapojitokeza kwa nia ya kuokoa mapato ya serikali nitawajuisha jins ya kunipata niwape taarifa za uhakika. Njooni tena hata muda huu mtakaposoma ujumbe huu. ILA Kazi tena hapa basi. Niko tayari kufa kwa ajili ya kiliokoa Taifa na Majanga ya ukwepaji kodi, unyanyasaji, fedheha na ukandamizaji.

  Mungu Ibarike Tanzania Mungu ulinde haki za waja wako.l
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  mkuu TIMOR,
  Usikate tamaa,hawa wengine wametumwa na baba zao wakina mfugale waje kukatisha tamaa.....kwani wakati babazao wanaomba mapenzi na wao kuja kuomba mapenzi hawakaujua sawa wanalala na mama zao wa kuzaliwa,then wanakuja humu kukupinga ...sema yote mi nishaanza kulifanyia kazi na kuna waheshimiwa watatu kama utaweza toa hata dir jinsi ya kuwasiliana..hatutaitaji kukuona kwa usalama wako just wakiitaji msaada zaidi
  na nakuakikishia ndani ya wiki moja njoo hapa uwasute hawa wanaolala na mababa zao....
  jamani haya si matusi

  HAWARA YA BABAYAKO UNALALA NAE=KULALA NA MAMA ZETU WANA JF MSITHUBUTU HIYO
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wajameni;

  No matter how low au ignorant Timor atakuwa, hili si la kuachwa lipite hivihivi... Si rahisi mtu kujitolea hivi ili azushe.

  Binafsi nam-appreciate Damas kwa kuwa kijana wa heshima na service level ya hotel ni fair;

  Unless tunaishi Mars
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  Wajameni;

  No matter how low au ignorant Timor atakuwa, hili si la kuachwa lipite hivihivi... Si rahisi mtu kujitolea hivi ili azushe.

  Binafsi nam-appreciate Damas kwa kuwa kijana wa heshima na service level ya hotel ni fair;

  Unless tunaishi Mars


  Mkuu TIMOR,,nimekueleza hapo juu kuna watoto wametumwa humu ndani si unaona wameamua kuanza kujinyesha ...............loh!!!!!!!!!!shame
  mnyonge mnyongeni haki yake mpeni na si ngonolazimishi!!!
  shame mfugale!!unamuua mkeo kwasababu ya tamaa za dunia!!!kuna mwenzao yuko RIKI HOTEL huyu nae mmmhh!!!uliza ndio mzee wa kanisa vibaya sana ,,ila humo ndani watoto wanavyogawana hiyo nyeti utasema aijafungiwa zipu....kibaya amekuwa na maisha ya kishirikina sana kila mwaka anafanya sherehe alafu kunakuwa na maji ya kunawa masharti yasidondoke hata tone..baada ya hapo wote mliokula zinachukuliwa na servietts mlizotumia zinaenda kufanyiwa kazi pale boko...hawa watu balaa malaya...washirikina kila sehemu wapo
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  A dissappointing revelation because Peacock, being owned by a local business man, was kind of role model to me...tatizo ukiliangalia kwa mapana kama kweli lipo ni lilelile linalosumbua sehemu nyingi...management. Hata kama ni family business, haiwezekani kila mtu akawa ndio operations manager. Hakuna mgawano wa madaraka? Vinginevyo ndio haya malalamiko yasiyoisha ambayo yana leta sura mbaya kwao. Naamini wameajiri mamenager ambao ilikuwa vema wao wakawa ndio wanaripoti kwa owners na kuwaacha wafanyakazi wachini wakawa wanaongozwa na wale waliowateua kuwa managers. Mzee Mfugale inawezekana hakusoma...ila Damas mtoto wake ni msomi anajua kinachotakiwa kufanyika.Bado tunahitaji wazalendo wa aina yao kufanya shughuli kama hizi kwenye uchumi wetu
   
 20. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa yote alosema Timor, mimi ni mmojawapo wa wafanyakazi tuliowahi kufanya hapo kwenye hicho kijiwe cha Bwana Mfugale.

  Ukwepaji kodi upo tena upo haswaaaa.Unyanyasaji wa kijinsia ndiyo usiombee kabisa.Tena nawatahadharisha kwa wale wenye wake zao mahali hapo kweli kabisa wajue wamenyamaza kwa mengi saaana.Unajua mwanamke mara nyingi hawezi kuzungumza matusi yote kwa mumewe,Atabaki kusema tuu kazi mahali pale ni ngumu.Sasa ujue mtu mzima akisema hivyo.............(.....)

  Halafu ni kweli kabisa hawa wafanyakazi wa kigeni anaowaokoteza huko na huko ,wakifika pale ndiyo kwanza wanajifanya Ma tx. Kuna GM mmoja aliwahi kuletwa miaka kama mitatu hivi,Yule bwana alikuwa anatoka mmojawapo ya nchi zilizo Kusini mwa Afrika,Nakwaambia alikuwa ana nata siyo kawaida. Uongozi hajui utawala hajui yaani alikuwa ni mzigo tu.

  Lakini Mfugale kwa kuwa alitoka kwa watu wanaongea Kiingereza ambacho naye hakijui zaidi ya neno "attitude" alimkumbatia sana na kutudharau sisi wazawa na shahada zetu na pale Mlimani, Sasa siku moja nikiwa kwenye mkutano wa SADC katika mji Mkuu wa nchi hiyo nilimkuta katika Hotel moja ya Hilton akiwa waiter. Kwa bahati nzuri ananifahamu saaana. Alipofika machoni pangu na tray ya vinywaji ilimponyoka ikadondoka chini.Kisa? Kuona kuwa ananihudumia mie niliyekuwa staff wake yeye akiitwa GM! Hakika ulikuwa ni mfadhaiko mkubwa sana kwake . Nikamuuliza kulikoni "Kasema alipofika nchini kwao alikuta nafasi yake ya U-GM imechukuliwa na kaburu. Nikamuuliza unakumbuka nikikwambia kuwa ulikuwa huna sifa za umeneja ? bora ungekuwa bellboy? Alijisikia aibu ipitayo kikomo.

  Sasa ndivyo watanzania tumefanywa kuwa vibarua ndani ya nchi yetu wenyewe huku tukiwatukuza wenye kuongea Kiingereza kuwa wao wanajua kila kitu.Meneja huyu alikuwa akilipwa dola 3000U$, Huku watanzania wenye Masters degree kama kina Jack wakilipwa shs.240,000/= tuuu. Sasa Jack ana nafasi nzuri katika Taasisi ya Umma na analipwa vizuri sana.Lakini yeye na wengine hawatasahau pale Peacock jinsi walivyonyanyaswa na kupuuzwa.

  Hili la ukwepaji wa kodi linajulikana hata ndani ya TRA,Kiongozi mmoja wa TRA alikuwa akija kwa huyu Bwana kuchukua bahasha kila mara. DAWASCO je? TANESCO je!? Billi hizo hazilipi ipasavyo zaidi zaidi hutoa bahasha tuu.

  Yupo Waziri mmoja katika awamu ya nne alikuwa Mali Asili na Utalii jina sitamtaja alikuwa na chumba chake ghorofa ya 7 kwa ajili ya ufuska tuu, hapewi bill huyu. Sasa katika mazingira hayo unadhani Timor atalalamika wapi asikilizwe JAMANI !!Timor mimi namfahamu sana tena amekuwa activist wa mstari wa mbele kutetea maslahi ya wenzake japo mara nyingi alidhani uongozi ungemsaidia. Leo nampongeza kwa kujitoa kimaso maso kuyaweka hadharani yale ambayo amekuwa akiyatetea. Heko Timor njoo nitakupa kazi. Naujua utendaji wako na uvumilivu ulionao. Mtafute Miriamu na wenzako mje niwape kazi.
   
  Last edited: Feb 5, 2009
Loading...