Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Jamani Shy kila kitu nimekupa sijakimbia.Hujui kwamba mimi ni mwaajiriwa na hawa mafisadi.Internet yenyewe hadi kibandani Kisutu unadhani mchezo.Hebu fungua PM yako uaanze kazi basi mapema kesho asubuhi.
Good ndugu yangu, unajua wengine wanafikiri jinsi mazingira yake ya kazi etc yalivyo vyote ni hivyo hivyo....mtu anayetaka kuonana na Timor mi tena nafikiri mpeane appointment mkakutane sehemu nyingine kabisa sio pale pale hotelini, mtamsababishia matatizo makubwa mwenzenu apoteze au uhai wake au hako kamshahara kake anakopata!
Humu ndani tu, wengi wetu tunaogopa hata kudisplay majina yetu ya kweli for confidentiality reasons, sasa sembuse huyu dada? Atawaanije nyie kina SHY wakati hakujui? je, itakuwavipi kama we SHY ni mzee Mfugale au mtoto wake? so huyu dada, anaright ya kuyaendea polepole haya mambo!
Nakushauri, TIMOR to be very careful unapotucontact sisi wenye nick names za ajabu!