Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

Sure kisaikolojia wanafunz weng wa serikali hawapo vizur na wengi hawajui mbinu za kugaulu.. mtu anasoma kama chizi full kukesha matokeo yakija sasa
Advance kuna jamaa alikuwa anasoma huyoo., kameza BS.
Akiulizwa swali anatiririka kama ilivyo kwenye BS.

Tukasema mwamba ndiye huyu sasa.

Subiri matokeo sasa,,,



BS- ni kitabu kinaitwa, Biological Science.
 
Back
Top Bottom