PCCB: Tuna manufaa nayo?

PCCB: Tuna manufaa nayo?

Miye nimepoteza imani na TAKUKURU miaka mingi tu iliyopita baada ya ile kauli kwamba, "Mafisadi ni matajiri wakubwa nchi kwetu kama wakikamatwa nchi itawaka moto." Kauli hii ilitolewa na Pinda akiwa pamoja na Mkuu wa Polisi nchini na Mwanasheria Mkuu kabla ya huyu mpya na TAKUKURU hawakutia neno kupinga kauli ile na hadi sasa hivi utendaji wao unaonyesha kwamba hawana nia yoyote ya kupambana na rushwa nchini.
 
Mchukia Fisadi, wewe ni mgeni katika nchi hii!!? Hapa bongo ukitaka uishi na watu vizuri sharti uongee usichomaanisha huku uimanisha usichoongea!!
 
Kumbe ulikuwa bado una imani na hawa jamaa? Pole sana!
DR Kitila hawa wametuangusha sana. Hatuna chombo cha kupambana na rushwa. Ni usanii tupu. Hawa wanachezea pesa zetu tu pamoja na shida zote tulizonazo nchi hii.
 
Suala la mtu mmoja kutaja mtoa taarifa ndio imekuwa SI UNIT? Inawezekana mtoa taarifa ameshajitangaza mwenyewe kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuficha idnntity! Hukumuni kwa haki baada ya kuwa na data, si siasa!
 
BUCHANAN WAAMBIE HAWA WASIOTUTAKIA MEMA.......! UOZO WA MTU MMOJA SI UOZO WA TAASISI YOTE..........MBONA MBUNGE MMOJA WA CHADEMA ALIKUWA ANATEMBEA NA MKE WA MTU (mbunge mwenzake) MPAKA HALI IKAWA TATA, NA MAMA WA MBUNGE HUYO AISHIYE KINONDONI(WAKATI HUO SIJUI KWA SASA) alikuwa akijitapa kuwa mtangazaji huyo maarufu ataachana na mumewe na kuolewa na kijana wake......huku akimalizia kwa mikogo HAPA NDO MWISHO WA RELI BWANA..........! je sakata hilo tukose imani na CHADEMA sababu ya mlafi mmoja?
 
Buchanan hili unaamini ni suala la mtu mmoja kutoa taarifa kweli? kama ni hivyo nitafurahi kusikia huyo anawajibishwa na Takukuru wenyewe. Lakini kwama na wewe unatetea uoza huu basi nyie endeleeni kuwapelekea taarifa mimi nimekoma. Hata nikiona unapewa au unatoa rushwa amini mimi MF nitakaa kimya. Wala usihofu!
 
Mahesabu njoo na hoja si hizi habari zako za kutungwa za zamani za kale kulikuwa na fisi na sungura tulizosoma darasa la kwanza miaka yeetu. Unachozungumza wala haki relate kabisa na hii topic.
 
Buchanan hili unaamini ni suala la mtu mmoja kutoa taarifa kweli? kama ni hivyo nitafurahi kusikia huyo anawajibishwa na Takukuru wenyewe. Lakini kwama na wewe unatetea uoza huu basi nyie endeleeni kuwapelekea taarifa mimi nimekoma. Hata nikiona unapewa au unatoa rushwa amini mimi MF nitakaa kimya. Wala usihofu!
Mchukia Fisadi suala la kupambana na rushwa si la TAKUKURU pekee! Mfano wako ni sawa na kusema kwa kuwa kuna baadhi ya wanajeshi wa JWTZ wanajihusisha na ujambazi, wewe ukiona nchi inavamiwa utakaa kimya bila kutoa taarifa popote! After all kwenye post yako #1 hapo juu hujasema kama TAKUKURU ndio waliomtaja mtoa taarifa. Practically, hapa kuna matatu: 1. Mtoa taarifa inawezekana anajigamba kutoa taarifa TAKUKURU (rejea Mh RA kuwasilisha madai TAKUKURU dhidi ya Mengi). 2. Mh Kagasheki kufanya intelligent guess (anawajua wabaya wake kisiasa). 3. Labda kweli m2 wa taasisi katoa data. Je, wewe umejiuliza hayo yote kabla ya kuhukumu TAKUKURU? Kama sio basi inawezekana ukawa na chuki binafsi! Otherwise, sikuelewi!
 
Na naona hujasoma niliyoandika vizuri na si ajabu hutanielewa. Sina chuki binafsi na TAkukuru kwa sababu sijawahi kura wala kutoa rushwa.
Nimefikia conclution kwamba Takukuru walitoa habari hizi tokana na kauri zake mwenyewe kagasheki.
Hata hivyo soma na posts za wengine utaona halijawahi kumkuta huyu rafiki yangu tu. Yaelekea ni kamchezo ka kawaida.
Nitabaki nawaogopa takukuru kama ukoma.
 
Kwa kuwa umedai kuwa si ajabu SITAKUELEWA na utabaki na unachoamini, unaweza ukaendeleza imani yako kwa gharama ya taifa letu na ya kwako mwenyewe! Na kwa mantiki hiyo hutakuwa na imani na chombo chochote cha dola (maana vina mapungufu makubwa mno kuliko hata hiyo TAKUKURU), Serikali yenyewe ambayo vyombo vya dola viko chini yake na wananchi walioipa hiyo Serikali mamlaka ya kuongoza!
 
mi naiaminia takukuru[sio kuiamini]wale watoto wanakamua mahela kichizi kwa sababu wanaja akija rais makini inakula kwao,anafutilia mbali
 
mimi binafsi niliwai peleka malalamiko yangu,walinijibu na barua yao nninayo mpaka leo,cha ajabu tuhuma nilizowapelekea zinahusu more than 10 peoples,lakini wao waliyumia about 2 weeks kunijibu barua yangu kuwa akuna dalili za rushwa ktk malalamiko yangu.
 
Mie sikuwahi kuipoteza imani yangu kwa kuwaamini hata kidogo! Na hasa walipokuja na project ya ule mjengo wao wa HQ unajiuliza idara ya serikali kama hii na mjengo mkuubwa namna hii well labda ni mtazamo wango but do they realy need it?
 
@Ringo,Una maana ukiwapa tujisenti wanakupa kila kitu live siyo?:angry::target:
 
Back
Top Bottom