PCCB: Tuna manufaa nayo?

Haya majungu tu sasa kama kila idara ya serikali wakileta vilio hapa hapata kalika .Manake kuna manung'uniko kila
sehemu hata huku kwetu wizarani mambo ni zaidi ya hivi ila tunapiga moyo konde maisha yanaendelea kama ilivyopa
ngwa na mtoa riziki
 
Back
Top Bottom