Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Hivi hii ya Hosea kuwa ni musilam ina ukweli kiasi gani au ndio mambo ya kuzushiana?
Kadoa ka-Udini NSSF na Upendeleo kwa Watumishi ambao ni wa Dini moia na Dau Kapo sana!Labda kwa kuwa asilimia kubwa sana ya Viongozi NSSF ni dini moja na Dau ambae ni CEO na si rahisi kujua walipatikana VP!PCCB Ingeanzia na chanzo cha viongozi kuwa Dini moja!
Pia NSSF ndio Shirika Kubwa linalovuna Pesa nyingi za michango ya mwezi toka kwa Wanachama wake(Kujiunga ni Lazima) na kuongoza kuwa na vitega Uchimi vya kutosha, Wakati huo huo ndio shirika linalotoa Mafao Kiduchu kwa wanachama wake wanapostaafu cha Kujiuliza wanapo wekeza ni kwa ajili ya nani kama mwanachama wa shirika kubwa kama NSSF anapostaafu Anapewa mafao Kiduchu?!Formula yao ya Kukokotoa mafao ni ya KINYONYAJI Ipo tofauti na Mashirika mengine ya hifadhi ya jamii kama LAPF na GSPF napo hapa kwa PCCB sio tatizo!
Jamani PCCB wanawezaga nini?
kadoa ka-udini nssf na upendeleo kwa watumishi ambao ni wa dini moia na dau kapo sana!labda kwa kuwa asilimia kubwa sana ya viongozi nssf ni dini moja na dau ambae ni ceo na si rahisi kujua walipatikana vp!pccb ingeanzia na chanzo cha viongozi kuwa dini moja!
Pia nssf ndio shirika kubwa linalovuna pesa nyingi za michango ya mwezi toka kwa wanachama wake(kujiunga ni lazima) na kuongoza kuwa na vitega uchimi vya kutosha, wakati huo huo ndio shirika linalotoa mafao kiduchu kwa wanachama wake wanapostaafu cha kujiuliza wanapo wekeza ni kwa ajili ya nani kama mwanachama wa shirika kubwa kama nssf anapostaafu anapewa mafao kiduchu?!formula yao ya kukokotoa mafao ni ya kinyonyaji ipo tofauti na mashirika mengine ya hifadhi ya jamii kama lapf na gspf napo hapa kwa pccb sio tatizo!
Jamani pccb wanawezaga nini?
Wenye akili wote Tanzania wanajua kuwa Dau is corrupt kwani wakina Manji ndiko wanakofilisi hela za wafanyakazi hata wanapostaafu hawapati fedha zao wanaishia kujiua kwa shida zinazowakabili; hii ripoti ni feki mbona CAG kasema NSSF wamewekeza fedha nyingi za pension ya watu kwenye miradi isiyoripa yote hiyo kwasababu ya 10%!!! Kama hiyo siyo corruption ni nini basi?
Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau
haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!
Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau
haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!
Nyie watanzania kwa kuropoka mtaacha lini,mnapenda kuongea mambo ya barabarani bila kujua,aliyekwambia Hosea MWISALMU NI NANI@ Hosea ni mkristo tena Msabato anasali kanisa la mwenge na ni msabato wa kweli acheni majungu.Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dauhaiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!
[/QUOTE]UPDATE:
Hafla ilikuwa Serena na Clients ni NSSF na MoW kwa share ya 60 kwa 40.
Mkandarasi aliyeshinda zabuni ni CRJE
Shughuli imeisha hapa Serena hotel
VIDEO: Magufuli akiongea
[video=youtube_share;Ph1NCMpyxAg]http://youtu.be/Ph1NCMpyxAg[/video]
PICHA:
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau ( wa pili kushoto) akisaini vitabu vya mkataba wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ukandarasi ya China Railway Jiangchang Engineering,Bw. Shi Yuan (pili kulia) na Muwakilishi wa Kampuni ya Ukandarasi ya Major Bridge Engineering,Bw. Zhou Yiqiao kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau (kushoto) akibabadilirishana vitabu vya mkataba wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ukandarasi ya China Railway Jiangchang Engineering,Bw. Shi Yuan mara baada ya kusaini leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Wengine Pichani ni Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufulli,Waziri wa kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Sadick,Balozi wa Misri nnchini.
Waziri wa Ujenzi,Mh. John Magufulli akihutubia leo wakati wa hafla ya utiliaji wa saini wa mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni ambao unatarajiwa kuanza siku yeyote kuanzia hivi sasa leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Mkataba huo umesainiwa baina ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Wakandarasi kutoka nchini China ambao ni CHINA RAILWAY JIANGCHANG ENGINEERING CO. (T) LTD na MAJOR BRIDGE ENGINEERING CO. LTD.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akihutubia katika hafla hiyo leo ambapo ametoa wito kwa wakazi wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za ujenzi huo wa mradi wa daraja la Kigamboni.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick akihutubia katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii,Dkt. Ramadhan Dau akifafanua jambo wakati wa kutoa hotuba yake juu ya mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni unaotarajiwa kuanza hivi karibuni ambao utagharimu kiasi cha sh. Bilioni 214.6 na utachukua muda wa miezi 36.
Mtaalamu wa Ujenzi wa Madaraja kutoka nchini Misri,Eng. Shwaibu akitoa maelekezo ya namna ujenzi huo utakavyokuwa.
Mtendaji Mkuu wa Tanroads,Eng. Patrick Mfugale akitoa ufafanuzi wa namna waliovyoweza kufanya utafiti wa namna mradi huo utakavyofanyika na mpaka kufikia kumalizika.
Picha ya mfano wa Daraja hilo la Kigamboni.
Picha na maelezo yake kwa hisani ya Othman Michuzi
Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:
The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.
Source PCCB report page 13
....