PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau

haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!
Dini zina lengo la kutuweka karibu na Mungu ili tuwe karibu na binadamu..!Tukiifanya kutuweka mbali na binadamu pia itatuweka mbali na Mungu...!just a Precaution
 
Napata shida kidogo kuamini kwamba watafiti hao wamekuja na majibu sahihi, hasa ukizingatia yale yaliyojitokeza NSSF kuhusiana na issue ya Manji na majengo ya Ubungo. Hata hivyo ni kukosa ufahamu na irresponsibility ya hali ya juu kudai kwamba Hosea na Dau wote ni waislamu. Hosea ni Msabato tena na muumini wa mara kwa mara pale Magomeni.
Anadhalilisha usabato bora angejiuzulu kama kabanwa kufanya kazi zake kwa uadilifu. Rejea ripoti ya wikileaks.
 
Tuseme ukweli, Dau ni mchumi mahiri na kiongozi mahiri.....hata tukilaumu kwa mitazamo ya kidini bado namkubali Dau. He deserves!Mzito!
pengine hao jamaa wangesema ni rushwa ipi?Ya miradi inayofanywa na NSSF wana hakika gani?ajira?rushwa ya hela ya nini sasa km vigezo vinaweza kuwa km dini au kabila?Au PCCB walishapambanua ukabila na udini km rushwa?au wanachama kutoa akiba zao wanavyokamuliwa?Au waajiri wanavyotoa rushwa ili wakwepe kuchangia kwa wanchama wasiojua haki zao?Rushwa ya wana siasa km akina Zitto ktk kamati na ushauri wa kipuuzi? Sidhani km bank nahitai rushwa kutoa hela yangu
 
hivi kuna possibility kuwa HOSEAH jina lake lingine likawa HUSSEIN?

Nilikuwa sijui kama Hosea wa PCCB naye ni muislam kama Dau wa NSSF
Kuweka taarifa sahihi Dk.Hosea sio muislam,msabato na anasali katika kanisa la waadventista wasabato Magomeni.Ukienda siku za jumamosi hapo ktk kanisa la wasabato magomeni mwembechai,utamkuta Hosea.
 
Pale rushwa nssf ni kama kawa yaani ceo wao ni kama shirika lake na hizo propaganda za pccb imekosa mashiko!
 
Dr Hosse is just like whistle blower and very insecure for the post is holding! A poor performer!
 
Gharama za Miradi Mingi ha nssf iPo inflated ...na ROI is unrealistic ....Jengo la Mzizima Towers ..,Gharama halisi ..haizidi bilioni 40 ...lakini Jengo Gharama iliyoripotiwa bilioni. 70 na ushee ...Kama Miradi wa moshi
 
Nssf is led by the most corrupt and made nssf like Islamic state bad news for TZ!
 
Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau

haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!
Acha slamphobia wewe, that's why ccm inaendelea kutusumbua kuitoa coz ya watu kama nyinyi. Think out of box.. Uislam umekufanya nini?
 
Back
Top Bottom