PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

info 2011na sasa no mda mrefu sana , hats hivyo pccb nap no corrupt
 
Haki mpe mwenye haki, achana na udini. Mkoa gani umeenda ukakuta NNSF mbovu au haifanyi kazi? Acheni kuwa watu wa kulaumu, leo Kigamboni kwa gari asingekuwa mbunifu dct Dau lingekuwepo? Nani alikuwa anaijua NNSF nyuma kabla ya Dau?
 
Back
Top Bottom