PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

MrNSSF

Senior Member
Mar 17, 2011
136
73
Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Source PCCB report page 13

lakini PCCB hawakuishia hapo waliamua kuendelea kwa kusema hivi:

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

source PCCB report page 38

Looks like Dr Dau is doing something that Kimei of CRDB, Ndulu of BOT,Kitilya of TRA, Mahingila of BRELA, Erio of PPF are not doing.

Najua kuwa kila institution ni eunique lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Dr Dau ameprove kuwa centered leadership is a journey and not a destination, and it starts with a highly personal decision ambazo aliziweka pale NSSF alipoichukua from Mr Mkulo wakati kuo NPF.

Nakumbuka one of his words sometimes in 2006 aliwahi kusema kuwa tatizo la ma CEO wa Tanzania wa siku hizi wanazungumzia mambo ya changing the organization, changing the mind-sets and behavior za watu lakini Dau anasema kuwa transformation is not about that ila as for NSSF it started with his willingness and ability to transform himself. Only then will others transform.

By the way Dr Dau alisomeshwa na shirika la masoko la kariakoo enzi hizoooo....

Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau

haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!

Tena NSSF mi mpaka kuna muda huwa nasema warudishe hela za wenyewe shirika lifutwe, hawafai hata kidogo, ripoti ni ya uongo na inapotosha uma.

hivi kuna possibility kuwa HOSEAH jina lake lingine likawa HUSSEIN?

Nilikuwa sijui kama Hosea wa PCCB naye ni muislam kama Dau wa NSSF

mimi na amini hii ripoti si kweli!

hajasema nssf haipo corrupt but ni least corrupt. Mie nadhani hii ni hatua lakini success hiyo si personal ni kwa organisation nzima. Pia ukiangalia hizo figure ukaondoa PCCB peke yake inamaana private sector hapo kwenye bank na NSSF(though ni ya serikali-but private based) inamaanisha government institutions are most corrupt. Pia km huiamini ripoti unatakiwa unasema kwanini sio ohh hii ripoti mie siiamini!

hivi kuna possibility kuwa HOSEAH jina lake lingine likawa HUSSEIN?

Nilikuwa sijui kama Hosea wa PCCB naye ni muislam kama Dau wa NSSF

Hivi kumbe Hoseah siyo jina lake halali bali amesomea la mwingine anaesota kijijini! Kumbe alianza uchakachuaji mapema sana.

Tatizo langu kubwa lipo hapa - underlined words

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

Kuna watu hawajui kazi ya NSSF, PCCB, na Mabenki hata wengine hawajawahi kufika zilipo ofizi za hizo idara! But on the other hand, asilimia karibu 100% ya "household" wanafahamu angalau kituo kimoja cha POLISI na Ofisi za Mahakama na walishawahi in one way or another ku-deal na POLISI au Mahakama au DAWASCO au TANESCO au e.t.c

Kwahiyo, tafiti hii nayo imejaa RUSHWA

Tatizo langu kubwa lipo hapa - underlined words

Kuna watu hawajui kazi ya NSSF, PCCB, na Mabenki hata wengine hawajawahi kufika zilipo ofizi za hizo idara! But on the other hand, asilimia karibu 100% ya "household" wanafahamu angalau kituo kimoja cha POLISI na Ofisi za Mahakama na walishawahi in one way or another ku-deal na POLISI au Mahakama au DAWASCO au TANESCO au e.t.c

Kwahiyo, tafiti hii nayo imejaa RUSHWA

kweli tatizo lako lipo hapo na unalo. Who are household respondents? Search hapo utajua kama household hawafiki maofisini utujuze na wenzako. By the way isome report ipo kwenye websites huenda matatizo yakaisha ukaja na arguments za kueleweka. Kumbuka pia research ni random!

hivi kuna possibility kuwa HOSEAH jina lake lingine likawa HUSSEIN?

Nilikuwa sijui kama Hosea wa PCCB naye ni muislam kama Dau wa NSSF

duh!

kwa mwendo kama huu bas sidhani kama tutafika maana hata kutoka hatujatoka kwenye safari hii

ila swali langu mimi ni moja

Kwa nini sifa hii asipewe KITILA wa TRA? why and whats so special about Dau?

au TRA nako kuna rushwa iliyokithiri?

Hivi kumbe Hoseah siyo jina lake halali bali amesomea la mwingine anaesota kijijini! Kumbe alianza uchakachuaji mapema sana.

Yeye anaitwa Edward Hosea. Mmatumbi wa Kahama. Tuache kujadili watu na dini, kabila, rangi zao. Haitatusaidia.

Huyu Hosea atakuwa anamtetea Muislam mwenzie Dau

haiwezekani kati ya mashirika yooote NSSF peke yake wawe mentioned kuwa wao ndio least corrupt!

ndugu yangu tunahamia kwenye udini tena?tunalipeleka wapi taifa?kwa kuweka kumbukumbu sawa Dr. Hosea ni mkristo anayesali SABATO

Tuseme ukweli, Dau ni mchumi mahiri na kiongozi mahiri.....hata tukilaumu kwa mitazamo ya kidini bado namkubali Dau. He deserves!

Mzito!

usijidanganye, wote ni walewale!! angekuwa mahiri, awamu hii na ile iliyopita, either angetimuliwa au angejiuzulu!!

kweli tatizo lako lipo hapo na unalo. Who are household respondents? Search hapo utajua kama household hawafiki maofisini utujuze na wenzako. By the way isome report ipo kwenye websites huenda matatizo yakaisha ukaja na arguments za kueleweka. Kumbuka pia research ni random!

Na wewe ulikuwa kwenye jopo la "watafiti"?

Hivi inahitaji msaada wa serikali ya Denmark kufahamu wala rushwa katika nchi hii?

Hayo ma-PDF nimeyasoma lakini it is the same old shit! Soma utanguliza wa "hizo ripoti" - It makes me think hawa ma-PhD holders waliokuwa kwenye "utafiti" huu kama kweli ni "PhD-holders"!!!!

Tatizo langu kubwa lipo hapa - underlined words

Kuna watu hawajui kazi ya NSSF, PCCB, na Mabenki hata wengine hawajawahi kufika zilipo ofizi za hizo idara! But on the other hand, asilimia karibu 100% ya "household" wanafahamu angalau kituo kimoja cha POLISI na Ofisi za Mahakama na walishawahi in one way or another ku-deal na POLISI au Mahakama au DAWASCO au TANESCO au e.t.c

Kwahiyo, tafiti hii nayo imejaa RUSHWA

Na wewe ulikuwa kwenye jopo la "watafiti"?

Hivi inahitaji msaada wa serikali ya Denmark kufahamu wala rushwa katika nchi hii?

Hayo ma-PDF nimeyasoma lakini it is the same old shit! Soma utanguliza wa "hizo ripoti" - It makes me think hawa ma-PhD holders waliokuwa kwenye "utafiti" huu kama kweli ni "PhD-holders"!!!!
Wewe naona unapotezea. Kwanza unatakiwa ukubali kuwa na wewe ni sehem ya household si kama ulivyokuwa unataka watu waamini household ni kikundi cha watu waliopo nyumba unemployement. Kwahiyo si kweli 100% kama ulivyotaka kusema. I am sure kwenye questionnaire maswali kama umewahi kuisikia au kuifaham taasisi fulani yalikuwepo. Kwahiyo bado hujaweka argument ya kueleweka.
Mie si MTAFITI ila ninaheshimu watafiti na nina interest ya kusoma wanayofanya.
Pia, research kufanyika haimaanishi kwamba tatizo halipo. Lengo ni kulifaham tatizo na ukubwa wake na kupima uwekezaji kwenye tatizo umefikia wapi na changamoto.

Back
Top Bottom