PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

I believe there is a serious flaw in this report. NSSF inatajwa mara kadhaa kwenye mambo ambayo sio sahihi.
1: their dealings na Manji na godowns za Ubungo
2: Ajira zinazolenga udini
3: Miradi isiyo makini kama ule wa smart cards kwa members ambao umekufa kabla hata haujasimama
4: Safari za viongozi na posho kubwa kubwa

cha kusema hapa ni kuwa hii ripoti imepotoshwa kiasi kikubwa, NSSF wanatajwa katika rushwa chache lakini za billions wakati wengine wanatajwa mara nyingi lakini kwenye individual level. I believe hii ripoti ingechambua juu ya utendaji wa mfanyakazi mmoja mmoja kuhusiana na rushwa na pia shirika kwa ujumla wake kuhusiana na rushwa

Mchakato huu ungeonyesha kuwa uozo wa NSSSF upo na sio mdogo ila wafanyakazi wake wanapata malipo mazuri yasiyotoa mianya mikubwa ya vishawishi na rushwa. after all wengi wanaodeal na NSSF ni wale wastaafu who sometime dont respond to this kind of surveys maana wanajiona they are no longer active or little role in country affairs.

Mradi wa Manji walifanya uchunguzi wakasema taratibu zilifuata. Km nilivyosema huenda nssf wanaafadhali. Hebu tutaje mashirika ambayo sisi tunaamini ni bora kwa rushwa zaidi ya nssf

kwa heshima na taadhima naomba nitukane...'woooote mnaoeneza udini, mnaopotosha mwelekeo wa mjadala wa kitaifa kwa kuingiza udini, mnaochambua ufanisi wa mtu kwa dini yake na wale wanaofikiri dini zao ni bora kuliko nyingine wakati mungu hana dini....ni washenzi, wapuuzi, wapumbavu, .....utamalizia

kuna kitu sikielewi vizuri. hivi ukiwa corrupt ila wewe ni least corrupt una afadhali? nilidhani ukiwa corrupt free wewe ndo wa kusifiwa. au ndo tumefikishana huko kuwa sasa ww ni least, unakuwa umejikomboa. aisee Mungu atoe msamaha wa nguvu. na hawa pccb, who watched the watcher? na how biased/unbiased the watcher watched the watcher?

Yaani tu wagonjwa kiasi kwamba yule anayeonekana ana hata uwezo wa kupepesa macho kitandani, tunamuona ni mzima wa kuweza kumtuma akatuchotee maji kisimani!

Tuache thread za kusakama watu kidini sio issue, lets judge utendaji wa NSSF na sio dini za watendaji wa NSSF

Hili la Hosea kuwa ni Muislam mmeniacha hoi bin taaban

kuna mtu kaulizia kuhusu TRA lakini naona hajajibiwa au kwasababu Kitilya ni mkristo?

Hizi tuhuma za waislam kupendeleana

wanapendeleana

Inawezekana maono yako ni yakweli nilisoma Tanzania daima ya 5/5/2011. ililipoti kuwa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara imepata hati safi ya usimamizi wa fedha kutoka kwa CAG ambaye ni mkristo kama Horsea. Viongozi wa Tandahimba ni kama wafuatavyo.

1. Husna Mwilima ( Mkuu wa wilaya)
2. Abdallah Njovu (Mkurugenzi wa Halmashauri)

Nadhani umepata mwanga kuhusu hawa watu, bila shaka wana kile ambacho wengine hawana na pengine wanakwamishwa na uchache wao tu nchi yetu ingekuwa mbali.

Hili la Dau na Hosea kuwa lao moja nilikuwa silijui

Sasa huyu Hosea kasilimu lini?

maana theory ni kuwa Dau atakuwa kamsilimisha Hosea then hosea akaandika ripoti ya kumtetea musilam mwezie Dau

na kwa maneno mengine ni kuwa Dau na hiyo NSSF ufanisi wao hauna lolote zaidi ya dini...hivi management ya PCCB nayo imejaa waislam na waandishi wa hii ripoti nao waislam?

if thats the case bora tutazame management ya CRDB nayo imekaaje kisha tutazame TRA nako inawezekana ikawa akina Kitilya na Kimei nao ni undercover Muslims

CRDB haina management

dont even bother

Hii ni scientific research na haijafanywa na PCCB per se.Hata ukisikia ripoti ya warioba,haina maana warioba ndio kafanya kila kitu.Na ni reflection ya umma kuhusu rushwa,just because few people think NSSF is corrupt,it doesn't mean it's not! sawa na just because most people think there's god,it doesn't mean there is god!!.
kumbukeni,kutokana na ripoti hii,watu wengi wamesema source yao kubwa ya information ni radio!....go figure.

lakini ndio report na ishaingia on the record!

Wenye akili wote Tanzania wanajua kuwa Dau is corrupt kwani wakina Manji ndiko wanakofilisi hela za wafanyakazi hata wanapostaafu hawapati fedha zao wanaishia kujiua kwa shida zinazowakabili; hii ripoti ni feki mbona CAG kasema NSSF wamewekeza fedha nyingi za pension ya watu kwenye miradi isiyoripa yote hiyo kwasababu ya 10%!!! Kama hiyo siyo corruption ni nini basi?

Tuhuma kweli zilitolewa lakini NSSF walikuwa exonerated

Jamani naomba mniwie radhi kwa kuharibu moods zenu lakini PCCB wanasema hivi kuhusu NSSF:

The least corrupt institutions are the National Social Security Fund (NSSF), Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) and the banking sector.

Source PCCB report page 13

lakini PCCB hawakuishia hapo waliamua kuendelea kwa kusema hivi:

The least corrupt institutions are the NSSF, PCCB and banking sector; these institutions are ranked as corrupt by only 28.7 percent, 29.6 percent and 36.7 percent of household respondents, respectively.

source PCCB report page 38

Looks like Dr Dau is doing something that Kimei of CRDB, Ndulu of BOT,Kitilya of TRA, Mahingila of BRELA, Erio of PPF are not doing.

Najua kuwa kila institution ni eunique lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Dr Dau ameprove kuwa centered leadership is a journey and not a destination, and it starts with a highly personal decision ambazo aliziweka pale NSSF alipoichukua from Mr Mkulo wakati kuo NPF.

Nakumbuka one of his words sometimes in 2006 aliwahi kusema kuwa tatizo la ma CEO wa Tanzania wa siku hizi wanazungumzia mambo ya changing the organization, changing the mind-sets and behavior za watu lakini Dau anasema kuwa transformation is not about that ila as for NSSF it started with his willingness and ability to transform himself. Only then will others transform.

By the way Dr Dau alisomeshwa na shirika la masoko la kariakoo enzi hizoooo....

Thank u MrNSSF

Umechimba data kali toka PCCB kama ni kweli then u a most welcome lakini kwa mtazamo wa haraka hawa NSSF wanafanya mengi kitaifa kwani vitega uchumi vinalenga jamii ukilinganisha na mashirika mengi ya kijamii. Doa moja lililopo ni udini tu hicho pekee katika utoaji vyeo na wakati mashirika mengi mfano PPF shirika la Erio yenye ni ngono, mademu na marafiki na udungu ndio wanaopata vyeo na usaani na uongo uliozidi kiwango.

Back
Top Bottom