​
- Ufumbuzi ni kutumia software nyengine katika kusearch katika PC yako.
- Ndugu Ambroce_Junior , nxon Tumia Everthing
Windows 8 ina search engine yake built in umeijaribu? Ukipeleka mouse kwenye kona juu kulia itatokea menu theb nenda kwenye kialama cha search andika kitu unachotaka then search kwa web
Mkuu hii huwa naitumia, tatizo lake haiwezi/ haina uwizo wa kusearch files zote zilizopo kwenye pc
Wataalam nahitaji msaada jinsi ya kupata desktop search engine, hasa kwa window 8. Mwanzo nilikuwa natumia GOOGLE DESKTOP SEARCH, lakini kwa windows 7 na 8 inakataa. msaada ps kama kuna search engine nyingine zaidi ya hii