PC na QT Special Thread

PC na QT Special Thread

PC ni mtu anayefanya mtihani wa CSEE, ambapo wengi wao hutumia mwaka mmoja katika kusoma syllubus ya miaka minne. Sasa moto unaanzia hapo.

Kiuhalisia yule mwanafunzi wa kidato cha nne aliye-cover ipasavyo sylubus za kidato cha kwanza hadi cha tatu, bado hana muda wa ku-relax, katika kumalizia sylubus ya kidato cha nne, na marudio ya nyuma.

Sembuse yule PC anayesoma mwaka mmoja mambo ya miaka minne?
Hapo ni lazima itumike nguvu ya ziada, ili kiumbe hiki kifanikiwe. Hakika moto unaanzia hapo.
Hahahaha...! huo moto haupimwi kwa vidole aisee, sitosahau kurisiti. Msuli na umakini vinahitajika tena msuli haswa. ajaribu kupitia vituo vya kurisiti aone wadau wanavyokula kitabu lakini bado wanazungusha.
 
Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
 
Mimi nimefanya huo mtihani wa PC mara moja tuu na nikapata credit nne
B+
C
C
C
Hiyoo ilikua ni 2014
Ninachotaka kukwambia ni kwamba honest kurudia mtihani kunakutaka uwe serious kupita kawaidaa, then shughuli yako kubwa iwe kusoma usijichanganye kwenye vituu vingi.
Ukiamini na ukasimamia kweli unachokiamini unaweza
 
Kweli usemayo. Mimi ni mtumishi wa umma, nimeajiriwa 2014, na 2015 ndo nikaamua kujiendeleza. Naingia kazini saa moja natoka saa kumi jion. Nilipokuwa nikitoka nilikuwa napitia secondary moja hivi kujiongezea maarifA. Lakin tangu nimekosa hizo crdt hata hamu ya kusoma imeniishia

Pili, huku nilipo watu ni wavivu, wameridhika na maisha hawana mpango wa kujiendeleza. Wakijiendeleza sana mwisho diploma, nami sitaki kusoma diploma pekee

Kwa kifupi huku kwetu hakuna changamoto ya elimu kabisa. Natamani nipate walau watu wawili wenye mawazo kama yangu ili tuungane na kutimiza malengo yetu kabla umri hauja tutupa mkono
 
Ulipiga wapi mkuu
 
Apo unaposema usichanganye na vitu Vingine Kama nn?
 
F 0-29
D 30-44
C 45-64
B 65-74
A 75-100
Hio ni both, PC and SC.

Ila kama ni mvivu wa kusoma usiguse moto wa PC. Siisahau mwaka jana (2016), nilikuwa PC. Nilipiga bonge la msuuli. Yaani ni msuli wa div one. Matokeo yake ikaja div two. Ila namshukuru Mungu.

Piga msuuli, kisha msuuli. Ukilegeza tu utaambulia mswaki.

Kisha nakutakia masomo mema!
Kiongizi mbona kuna watu husema kuwa eti D inaanza na 35 Kwa PC na na SC yeye ni 30?
 
Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
Uko wapi ndugu, kwenye kusoma ndiyo kila kitu katu usikate tamaa au mwenzetu huangalii mbele?
Piga kitabu nakuuliza kuwa uko wapi ili nione tunasaidiana vipi.
 
Kweli usemayo. Mimi ni mtumishi wa umma, nimeajiriwa 2014, na 2015 ndo nikaamua kujiendeleza. Naingia kazini saa moja natoka saa kumi jion. Nilipokuwa nikitoka nilikuwa napitia secondary moja hivi kujiongezea maarifA. Lakin tangu nimekosa hizo crdt hata hamu ya kusoma imeniishia

Pili, huku nilipo watu ni wavivu, wameridhika na maisha hawana mpango wa kujiendeleza. Wakijiendeleza sana mwisho diploma, nami sitaki kusoma diploma pekee

Kwa kifupi huku kwetu hakuna changamoto ya elimu kabisa. Natamani nipate walau watu wawili wenye mawazo kama yangu ili tuungane na kutimiza malengo yetu kabla umri hauja tutupa mkono
Mkuu kuna application ya THL walee jamaa wana notes nzuri saana mkuu na pia wanabaadhi ya maswali ambayo yanaweza kukusaidia ushawahi itumia hiyoo
 
Wewe mwanaume mimi nilishangaa sana mwaka jana kusoma kote nikaambulia ka credit kamojatu. Mwaka huu tena nimo sikati tamaa.

Ndugu, nina imani pia mitihani ya mara kwa mara ilinisaidia. Kuanzia j'mosi ya kwanza ya mwezi wa 6 mwaka jana, hadi wiki mbili kabla ya pepa nilikuwa nafanya mitihani miwili hadi minne kila wiki.
Tangu napata marks ndogo hadi napata kubwa.

Hivyo katika kusoma kwako, MITIHANI YA KUJIPIMA MARA KWA MARA NI MUHIMU SAANA.
 
Wewe mwanaume mimi nilishangaa sana mwaka jana kusoma kote nikaambulia ka credit kamojatu. Mwaka huu tena nimo sikati tamaa.
Ukifwatisha ushauri wa wadau humu, kisha kuufanyia kazi utafanikiwa tu. Kumbuka mimi nilivyofanya mtihani wa SC nilizungusha bonge la circle, hata hio Credit moja, sikuipata! Ila nilivyorisiti nikapata div2.
Hivyo penye nia pana mjia!
 
Uzima uko wapi kwa sasa ndugu nipatie mwongozo nataka fanya mtihani mwaka huu je mda wa kulipia bado bila penalty na je nawezaje kupata credit mbili ili mwakani niwe advance kwani shule naitamani sana aisee i wish nipate crdts zangu niende advance mwakani japo ni mwajiriwa ila sijarizika na hapa nilipo kabisa
 
Back
Top Bottom