Bro nmecheza cod zote...nawakubal sana jamaaa...
Ila hapa kweny bf1 ebwana bf wmetisha...ufanano uliotokea ni mkubwa sana ndio mana tunasema copy n paste....
I wish ningekupa bf1 ucheze alaf uniambie..the day naona trailer ya ww2 cod automatically naona ni bf1...anyway ngoja tuisubr tho hata trailer sio kal kam ya bf1 japo ni copy n paste
Unajua cod mim sijawapenda wanavyo switch to future..habar za kubooth sjui mara umepaa full drones..dah
Ndiomana kweny infinite warfare ndio game yeny dislikes nying...cod wabak tu ardhini huku huku tena sio future...
Ila still bf1 katisha sana..nmeicheza mara 3 hii game...yan kuna silaha hizo sio poa..na unajua battlefield hawabanagi silaha..yan ukitaka hata tanks unaendesha,magar unaendesha yan uko free sana....had ndege una amsha..kama umecheza battlefield 3 basi kuna f22 nafkil ile sio poa..na kweny bf1 unapewa ndege alaf unaanza kutungua bombers zilizopo angani..
Ngoja tuisubir iyo ww2 tuone itakuaje.