PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

Mkuu mimi ni addicted na hizi PC games, nina game ya call of duty- ile inayoelezea WWII. Pia natafuta game yoyote ya action kama vile IGI nk,kwasasa nipo mkoani je nitazipataje? Pia naweza mtuma mdogo wangu hapo posta afu yeye akanitumia nilipo au ukanitumia we mwenyewe direct

Upo mkoa gani nina Project IGI zote.
 
Kama kuna Mission umekwama ktk hii Game, weka hapa ulipokwama ili tukusaidie.
 
Nimecheza game nyingi za action tangu enzi zile za Project IGI,lkn niwemuwazi Cal of duty 4 Modern Warfare immenifurahisha sana kuliko hata zike call of duty zilizopiata sichoki kuicheza,graphics mpangilio wa matukio sauti na hata bunduki na choice zake uko poa sana hii game ni moja kati ya the best action game kwenye pc
 
Mkuu weka kama una assasins creed series zote na god of war,prince of percia pia project igi kama ukpata muda
 
Nimecheza game nyingi za action tangu enzi zile za Project IGI,lkn niwemuwazi Cal of duty 4 Modern Warfare immenifurahisha sana kuliko hata zike call of duty zilizopiata sichoki kuicheza,graphics mpangilio wa matukio sauti na hata bunduki na choice zake uko poa sana hii game ni moja kati ya the best action game kwenye pc
Hongera Mkuu, hakuna Call Of Duty kwangu ambayo niliipenda kama ile ya Call Of Duty 5 ambayo mnapigana kama WW II ile Game ni ngumu acha!
 
Hongera Mkuu, hakuna Call Of Duty kwangu ambayo niliipenda kama ile ya Call Of Duty 5 ambayo mnapigana kama WW II ile Game ni ngumu acha!
Yah ile ni ishu sana,hata silaha wanazotumia na mabomu yao ni ya zamani(silaha za miaka ile ya ww2) na ukipata mission ya kuendesha kifaru ndio balaa zaidi ilinisumbua,lkn niliimaliza game yote mpk mwisho kabisa. Sijacheza hiyo ya Ghost nafikiri nitafute link itakayoniwezesha kuipakua
 
Habari Wakuu!!!
Kwa wale wapenzi wa PC Games, nina Call Of Duty 4 Modern Warfare naitoa bure bila malipo yoyote japo sikukatazi ukinipa hata ela ya vocha.
-Nitakuwa nazitoa hizi Game kwa WanaJF kila baada ya muda kadhaa, nilitoa Fifa 14 bure na sasa ninatoa Call of Duty 4. Sina namna ya kuanza kuielezea hii Game kwa mapana sababu sina kipaji cha kudadavua vitu kama hivi ila ni mchezaji hasa wa haya Magame ya Computer.
-Kwa wale ambao waliipata Fifa 14 wanaweza wakasema kama niliwacharge hata senti 5. Jamiiforums huwa inanisaidia sana nikiwa na shida mbalimbali kwahiyo na mimi nawasaidia wale ambao wanauhitaji wa hii Game. Fifa 15 Ipo njiani kuna kitu nataka nihakiki kwangu kwanza, nikifanikiwa nitaweka tangazo la kuigawa hapa bure bila malipo.

-Pia baada ya Call of Duty 4 nitakuja kugawa Game nyingine yenye ya Call of Duty yenye 13GB, Hatari saaaaaaana hii Game. Kaeni mkao wa kula.

-Kwa mawasiliano unaweza ni PM.
Hii game bwana kila mission ina raha yake, kwangu the most interesting one ni ile baada ya kumuua yule Al Asaad,Capt Price anawasimulia jamaazake kipindi akiwa lieutenant wakaenda wawili tu kwenye ile kambi ambayo walimpiga sniper Imran Zakaev ikampata ya mkono sasa kazi inaanza kuelekea kwenye extraction point. Dah hii game ni hatari sana haichoshi ila wale mbwa wanakata stimu ile V mpaka uiotee kuibonyeza
 
mkuu sisi tunaopenda adventure games tufanyie mpango wa kama hizo alizosema smigo4u yana series za assassin creed. pia rise of tomb raider 2016
 
Ila call of duty nalipenda hili game sio mchezo

Sent using Iphone 7+
 
Mhh

Mkuu hapo bado hujanishawishi kucheza Battlefield Maana Inakuja Iyo Inatwa Call Of Duty WWII
ni hatar sana
Sasa angalia trailer ya battlefield 1 mzee af njoo uangalie ya ww2 cod..ni copy n paste ya battlefield 1...cod mwaka huu wamechemka...wakatoa infinite warfare wenzao battlefield 1 wakarud world war..haha hapo ndo bao lilipopigwa

Ikabd nao warud ww2 fasta ndio wanaipa promo saiz...narudia angalia trailer ya battlefield 1 mana najua hujaicheza..kisha njoo uone trailer ya ww2 cod ni copy n paste utaona..

Mimi binafsi cod ww2 naiita call of battlefield 1..na sasa hiv battlefield 1 inakula updates za map mpya kila leo..

Nmecheza cod zote jamaa wanajua ila hapa kati kat wmepotezwa na bf1..soma hata comments za trailer ya ww2 cod..ni full battlefield 1

Sent from my SM-G906K using Tapatalk
 
Back
Top Bottom