Paulo Makonda huyoo ndani ya pipa

Lady Mwali

Senior Member
Nov 15, 2018
147
332
Hamnipati ng'ooo.....labda mnitumie Interpol

FB_IMG_16448702419115606.jpg

 
Picha ya zamani hii.

Aliendaga kushangilia Taifa stars ilikuwa inacheza japo tulifungwa

Sasa hivi jeuri ya kukaa business class aipate wapi?
 
Hayo madole yake alivyoyaweka ni ishara ya nini?
Kwamba hadi sasa ni tatu bila hakuna aliemkamata wala kumfanya lolote...... Tanzania nzima nyie ni mademu tu kwake hakuna kidume wa kumuwajibisha.
 
Back
Top Bottom