Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Brand!!!! kama hana product endelevu ya kupeleka sokoni yenye demand kubwa ni kumpoteza maboya mtoto wa watu. Hana chochote cha kufanya zaidi ya uvideo vixen, photoshoot kutangaza brand za watu kwa malipo kiduchu labda sana na event appearance nazo kwa malipo kiduchu.

Nchi yetu bado ni masikini, hivyo hivyo na industry bado ni masikini sana, issues kama Gigs na showbize bado hazina pesa kiasi hicho, na kwa wasanii hakuna msanii anaweza kuja na bidhaa yenye brand yake akaipush sokoni ika-boom. Wapo akina Flavian matata baada ya uwekezaji mkubwa wanapush product zao zinatoka lakini sio kwa ukubwa huo.

Paula kutengeneza pesa hizo mnazomuaminisha kupitia jina kibongo bongo ni uongo, labda kutengeneza umaarufu ambao utampa "pesa madafu tu". Njia walizopita akina Kyle Jenner huku haziko applicable.
 
Anafanya kazi gani?
Management ikamsimamie kwenye kazi zipi?
Dogo hana Product kwamba watu watanunua zaidi amepata umaarufu kupitia mama yake! Sasa sielewi hata mie hio management ya nini maana unajua ukiwa na kitu kama talent labda you might use it ku influence sales kwenye biashara za watu ukalipwa commissions kama BA!

Sasa dogo anamenejiwa katika kitu gani labda sababu madanga wanapenda nyama mbichi labda hio menejiment iwe ya kumtafutia wazee wa kazi Dubenga huko waje kulamba Tigo yake kwa Madau ya kimataifa!

Atleast awe na product inayomtambulisha sokoni kwanza vinginevyo tunajua biashara kubwa ya masataa uchwara ni umalaya hapa mjini!
 
Kibongo bongo Usocialite haulipi. Unakuwa na jina kubwa Halafu fursa za kutumia jina lako hamna.
Mastaa Wengi wanamajina makubwa lakini maisha magumu.

Mtu hata nauli ya boda Hana Ila anashindwa kupanda daladala sababu Istagram Ni maarufu.
Joh Makini aliimba tunatengeneza Maskini wenye majina makubwa! Belle 9 sahizi anagongea bia kwa muhuni wangu mmoja akija DSM jamaa kapanga mwenge ila kutoka kwake kinyonge sana yani ila ni star! 😅😅😂 Huwa nashindwa kuelewa huu ustar kibongo bongo mnautafsiri vipi! Star ni mtu maarufu worldwide hawa bongo ni ma celebs tu!
 
Maisha haya ukipata fursa piga mpunga, as long as hautoi roho ya mtu, haumfanyii mtu ulozi au kuiba mali za watu...
 
Paula ataishia tu ka wema, angekuwa mbelezi ka USA angetoboza kwa kufanya hata modelling au kupata matangazo ila kibongo bongo atakuwa anawasaidia wanaume kutoa hamu na yeye kupata hela za photoshoot
 
Kwa maisha wanayoishi hao watu mama na mtoto bado hiyo pesa ni poketi money mill 50 ni nauli ya kwenda dubai na kurudi kufikia hotel pesa imeshaisha

Kibongo bongo bado tasnia hailipi kihivyo ndio mana ata wasanii wetu bado wana hali mbaya wanapata pesa inayoonekana ni kubwa sawa lakini matumizi yao ni makubwa kuzidi uwekezaji
Na uwekezagi wao hauna future wala improvements kwa sababu mwisho wao ni kudanga tu na kuhongwa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,huyo mzee mpili anatumika na watu wa media ambao ndio wanaopiga pesa zaidi,watu wanaoibuka bila mikakati kama mzee mpili ni watu wakupita tu tena kwa muda mfupi sana,

Yuko wapi Piere liquid? yuko wapi Dr shika? alichoka mpaka akakosa hela ya kujitibisha hadi mauti yalipo mkuta.
Ni kweli mkuu zile ni fursa kwa watu wa media wanajiita brand managers.
Kwa mfano huyo mzee mpili sawa ni maarufu lakini bado anatembelea baiskeli ya phoenix

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa mjanja angefungua Massage Parlor kutembea na upepo wa hizo kiki zake akiashiria kuwa kuna huduma itapatikana toka kwake ila ni kuvutia biashara najua wakware wengi wangevunja account tu ilimradi wafike na kupata huduma kwenye massage centre yake!
Wazo zuri, hata Mimi sikuwanalo hongera sana, tatizo hajitambui yeye anaona kuwa midomoni mwa watu ni sifa, mama naye kutwa kutembea uchi inasikitisha sana
 
Wazo zuri, hata Mimi sikuwanalo hongera sana, tatizo hajitambui yeye anaona kuwa midomoni mwa watu ni sifa, mama naye kutwa kutembea uchi inasikitisha sana
Si utoto unamsumbua yani kadem ka 18 yrs old kanawaza nini zaidi ya iPhone macho matatu na outing za KFC hapo anaona kamaliza maisha too bad hana kiongozi mzuri! Mama yake ndio anamsikiliza mtoto anataka nini badala ya mtoto kumsikiliza mzazi😅😅😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom