Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Wateja wake ni akina nani? Au kule kuonesha papuchi ndio bidhaa yenyewe?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nikwambie kitu ambacho uwezi kuamini?
Dunia ipo kwenye 4th Industrial Revolution ila wewe na wenzio bado mpo kwenye phase ya Iron technology.
Ni ngumu sana na nitapoteza muda wangu kukuelewesha namna unavyoweza kuingiza pesa kwa kuwapa watu story ya maisha yako.
Kuhusu mteja atakuwa nani, wote waliofungua huu uzi haswa waliomtukana na kumkejeli hao ndio haswa wateja wake royal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom