mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Salamu za heri ya Xmas zikufikie.
Kupitia Mapumziko haya ya sikukuu naomba haya Mawili Kutoka Kwangu yakufikie na uyatafakari.
1. Swala la mavazi kwa Kina dada ,Aisee Mh. Labda utakua si rahisi ww kukutana na haya ila Ths is too much . Wanatutesa sisi kina kaka kisaikologia pia kutuharibia hata utaratibu wa Ibada kwa wakati mwengine
Mkuu wa Mkoa Nnachosema nasema kwa Majonzi na masikitiko makubwa .Vijana wako wa Dar es salaam WANATEMBEA UCHI.
Inafika Mahala hata Unaona Aibu ukiwa na mwanao au mzazi wako Jinsi Gani utapishana na hawa wanawake .
Leo nimekutana na mmoja Kavaa ndhani ni ni nguo iliyostahili kuvaliwa ndani ya vazi lingine,ni fupi na imembana mithili ya yale mavazi ya waogeleaji wa Olympic ..na ndani wala hajavaa kitu chochote hakika nilibaki nashika mdomo .
2. Hawa wanawake wanaokwenda "KUOA" Sijui kucheza ngoma ..wenyewe wanaita kwenda Kwenye "Shughuli", Mkuu wa mkoa hawa watu wanalidhalilisha Jiji letu. Mchana kweupe Wanatoa Makalio Nje ya madirisha ya dalala wako na Mavazi wanaita "Dira/Dela" ndani wakiwa Hawajavalia Kitu ,Huku wakipigiwa Ngoma na maturumbeta ...hawajali wanapita kwnye Nyumba za Ibada wala makazi ya watu wao ni Kukatika Vionu tu na kupepesa makalio,balaa zaidi uwakute Kwenye Foleni hapo ndio wengine wanashuka na kutikisa makalio barabarani kabisaaa .
Hakika Leo nimefedheheka sana, mbaya zaidi nilikua na mgeni wangu kutoka nchi za nje, hakuniuliza Wale wanafanya nn , lah hasha , Aliniuliza ni kwann wanafanya hivyo. ! Nilikosa la kumjibu.
Please Mkuu wa Mkoa Hizi ni salamu zangu kwako za mwisho wa mwaka.
Nnachfahamu Hakuna Jamii isiyo na maadali ,jaribu kuyaonya haya
Please please please .. Hatuwezi endelea kuishi kwnye Jamii yenye Maadali machafu namna hii , hata baraka nyingine huzuiwa kwa matendo haya.
Ahsante na nikutakie Heri ya mwaka Mpya 2017.