12/03/2017 .Kutoka kanisa la Ufufuo na Uzima. [HASHTAG]#BishopDr[/HASHTAG].Gwajima:
*"Pale Pamba Sekondari Daudi Albert BASHITE alikutana na msichana anaitwa Christina Spiriani Mgela Mayanja, mambo waliyoyafanya pale Pamba Sekondari ninayaweka akiba kwa siku zijazo"* [HASHTAG]#BishopDr[/HASHTAG].Gwajima:
*"huyu Chrispina Mgela Mayanja ni mhaya na alikuwa anasoma Sumve Sekondari na alikuwa na Mahusiano na Daudi Albert Bashite, huyu ndio alimpeleka kwa binamu yake Paul Christian Malanja ambaye walimchomolea vyeti ili vitumiwe na Daudi Albert BASHITE, baadaye wakaamua ku -apply chuo cha Fisheries cha Nyegezi Mwanza, na barua ya kuomba chuo Jina likabadilika, na hakuwa na uwezo wa kuandika barua na ikabidi andikiwe barua ya na Emilian Kabote na walipofika Chuoni walipokelewa na John Makene akiwa mkuu wa Chuo"*
[HASHTAG]#BishopDr[/HASHTAG].Gwajima: "Nikupe majina ya waliosoma Daudi Albert Bashite pale Nyanza Sekondari"
Wa kwanza anaitwa;
1. Mwanaidi Kamese - yupo hapa Dar
2. Ibrahim Malongo
3. Evod Mosha
Wapo wengi.
Albert Bashite ambaye baba yake alikuwa ni mwanajeshi...
Anaitwa Albert Bashite yupo mpaka leo yupo na vitambulisho vyake ninavyo
C&P
[HASHTAG]#BishopDr[/HASHTAG].Gwajima:
*"Alipomaliza Pamba Sekondari alikuwa Kondakta ya daladala limeandikwa ubavuni " Mungu Hana choyo, linatoka Sumve mpaka Buzurugwa, na dereva wa alikuwa anaitwa Albert Bonge"*
[HASHTAG]#BishopDr[/HASHTAG].Gwajima:
*"Makosa mengine ni kula kiapo chini ya uongo wa Jina akiapa kama Paul Christian Makonda wakati jina lake halisi ni Daudi Albert BASHITE, na adhabu yake ni kifungo cha miaka 3 jela*
*Kosa jingine ni kufunga ndoa kwa jina lisilo la kwake, ile ndoa aliyofunga kwa jina la Paul Christian Makonda ni batili na haipo,*
*Kosa jingine ni kupokea Pasi ya Kusafiria kwa jina la kughushi, ametoa taarifa za uongo na adhabu yake ni kifungo miaka 3*
*Ndio maana analia machozi. Anajua kimeumana.*
*Kosa jingine ni kutoa cheti cha kuzaliwa cha kufoji ili apate pasi ya kusafiria.*
*Ni nashangaa Polisi wamemuachaje BASHITE atoroke kwenda nchi za nje!*
*Nchi zote alizoingia ameingia kwa makosa ya kudanganya jina*
*Nani anatakiwa kumshitaki Paul (Daudi Albert BASHITE? ) ni Polisi na DPP, na ikishindikana basi anaweza kushitakiwa kwa Private Prosecution.*
*Ninawashangaa Polisi huyu BASHITE ametorokaje?"*