Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Paul Makonda arejea nchini kimya kimya

Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
kizazi kilichotokana na ZERO yaani ZEERO ZEERO!! KUZUNGUSHA! na kutawaliwa na Mh. ZERO ile ZEERO!
 
Kila kukicha na page mpya ya Bashite, halafu yawezekana huyo dada ndo kamfunga kizazi asizae
 
Nashukutu tumeelewana komredi.
Bashite akamatwe mara moja na kufunguliwa mashtaka ili fundisho kwa wenye tabia ksma hizi chafu na za kibazazi.
Sisi hatumjui huyo unayemuita Bashite ili sheria ichukue mkondo wake!

Toa ushirikiano basi
 
Anashangaa nini sasa watu wengi wamehama DINI na majina yakabadilika.

Watu wamebadili majina yao mahakamani kisheria kwasababu moja au nyingine haina shida.

Tatizo akili zetu zimeshikiliwa na watu wachache tunaendeshwa tu kila kitu tukiambiwa basi tunabeba bango kabisa na kuwa mstaari wa mbele hata hujui A wala B
Kumbuka mahakamani aliapa kwa kuongeza jina la makonda sio hayo mengine
 
Haiwezekani hata kidogo mkuu,kuna mtu ameacha familia yake,yuko jela anatumikia miaka 28 sababu ya kukutwa na cheti feki,alafu nyie boss wenu anatamba tu uraiani.
Sasa mkitupigia kelele humu itasaidia nin? Kama mnaushahidi si muende mkamshtaki na nyinyi afungwe hyo miaka 28 mnayosema?
 
Hata kama mm ningerudi, kwa sababu pange haribika kila sehemu.. Lol
 
Mkuu ila kutumia cheti cha magumashi si ni kosa kisheria?

Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!

Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!
 
Lakini hata kama ni kweli, kwa nini Mkewe apate pressure, hayo mambo ya past relation ya mumewe yeye yanamhusu vipi.?sitaki kuamini kwamba mkewe alimaind kusikia hivyo.
 
Jamani kwani wakati anaondoka aliaga? Mbona watu tumekosa kazi za kufanya? Boss wake atakuwa anajua kila kitu, sisi wengine tunahangaika bure.
 
Yaani hizi akili ni mtihani!!
Mna tapatapa ajabu magazeti yalivyo na waandishi MAZERO
wanachukua habari za Viroba humu inakuwa ndio habari kuu!!
Ilikuwa likizo ya Miezi miwili!!
Leo Matapishi mengine!!!
Nchi imevamiwa na kizazi cha laana
kizazi kinacho shabikia upumbuvu!!!


HESHIMU TAALUMA ZA WATU WENYE VYETI ORIGINAL VYENYE MAJINA YAO.
Kati ya D.A. Bashite na waandishi yupi zero?
Wewe mbona husemi huo ukweli
 
Hiyo issue ni kweli,kuhusu kutembea na mdogo wake Paul christian malanja ambaye ni mtangazaji wa Voice of Tabora,kipindi Daudi bashite anaenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa beach ya kanisa la AIC bwiru ambapo alitoa MILIONI 80 huyo kijana Paul Malanja alipigia hadi simu ndugu zake Mwanza wakaonane na Bashite wamuombe amsaidie kwani kamsahau na kijana kapigika,ndugu zake walikataa maana story nzima wanaijua toka anaomba cheti akajiunge polisi(HAKUNUA CHETI,ALIPEWA NA SHEMEJI KIMSAADA)lakini toka alivyomtupa kaka mtu na familia iliyomsaidia huku wakisikia jinsi anavyohonga machangu wa Bongo movie ilikuwa inawauma sana ile familia.
Alipotoka hapo akaenda Dodoma yule kijana akatoka Tabora hadi Dodoma kumfata Bashite na hakupata msaada wowote
kuna time pia zamani daudi aliwahi kwenda mwanza kijana huyo paul Malanja akamfata na kuishia kulipiwa malazi ya week moja DELUXE HOTEL ya sh 10,000 kwa siku huku akiwa hana hata hela ya kula na kuishia kusumbua ndugu zake
Sasa baada ya haya mambo kubumburuka cha kushangaza huyo PAUL CHRISTIAN MALANJA anawaambia ndugu zake kwamba hakumpa cheti bashite na hajui lolote kuhusu suala hilo tena anakuwa mkali kabisa
Nafikiri unaweza kujua ni nini tayari ambacho kimekwishafanyika.
Hiyo issue inanikumbusha afande fulani hivi sasa marehemu (Mungu amlaze mahali pema) naye alitumia cheti cha mtu kupata kazi. Alipopata akamtekeleza mpaka issue ya uhakiki ilipoanza akaanza kumtafuta aliyempa cheti
 
Back
Top Bottom