Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,627
mkuuu..halafu iwe n tuhuma za kweli si rahis kukanyaga
Iv mnafikili kujibu tuhuma zote hzo ni rahisi!! Ombea usiwe ww
Iv mnafikili kujibu tuhuma zote hzo ni rahisi!! Ombea usiwe ww
Kwani NECTA hakuna watu wakuleta uthibitisho wa division zero ya Makonda? Mbona za mke wa Magufuli walileta.Haya mambo ni magumu! Sidhani kama amesingiziwa. Haya yalikuwa yanafanyika sana tena sana. Makonda kijana wa juzi taarifa zake zipo NECTA, it is easy to trace!
anajitisha mwenyewe.. kwani njia ya muongo fupi.. na barabara ndefu haikosi konaLabda kaenda TBC...
Naona hii Clouds hivi sasa ndio Radio ya Taifa.
Inaelekea JPM anaisikiliza sana clouds ndo maana vijana wake wanapigana vikumbo kuitumia ili bwana mkubwa ausikie utendaji kazi wao uliotukuka wa kutumbua na kuumbua na kutishia...
Mi nadhani amezingatia ushauri alopewa humu janaImetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Kumkamata Makonda kama kafoji au hajafoji vyeti ni rahisi sana,Watafutwe watu waliosoma Pamba Miaka hiyo na Nyanza watoe ushuhuda wao,lakini pia,Daud Bashite anayesemekana alimuuzia Makonda vyeti atafutwe pia,Wazazi wa Makonda wafuatiliwe (Hapa Investigative Journalism lazima ihusike)ili kupata uhakika,je baba mzazi wa Makonda anaitwa nani?
Huna Elimu nzuri, Huna hela,Huna nyumba miaka yako yote hiyo bado unaishi kwa wazazi?!! Sa mie na wewe sijui nani Lofa?!!!!We lofa, wanakufanyaje?
Hili jambo linalo zungumzwa yapata wiki nzima sasa si jambo dogo kabisa, inabidi lifikie tamati yake,na ili lifikie tamati yake mimi namshauri RC makonda (kwa ujasiri alioonyesha kwenye uongozi wake tangu akiwa kada UVCCM,DC,RC) atoke hadharani aitishe press conference pale ofcn kwake ili kukata mzizi wa fitina. Kama RC aliweza kusimamia issue ya scorpion na akaita press conference pale ofcn wake, hebu abebe ujasiri wa kumaliza hili jambo. Hakika anamweka Mh.Raisi katika wakati mgumu machoni pa Watanzania,kwamba amesimamia zoezi la watumishi hewa na wale wasio na sifa za vyeti kwenye ajira walizo kuwa nazo. Wote walishugulikiwa kufuatana na sheria za nchi. Sasa kijana wangu RC Makonda Kata mzizi huu wa hizi hadithi kwa kuwa mwenye ukweli ni weweDouble satandard,kumbuka wengine waliachishwa kazi kwa ajili ya vyeti feki
Siyo amtengue. Aliyemteua angeagiza mamlaka husika (wizara ya elimu) ihakiki na impe taarifa! Akikaa kimya inatoa nafasi ya kila MTU kuja na tafsiri yake kuhusu ukimya huu!!! Double standards ni sumu katika jamii! Hatuhitaji amtengue bila kuhakiki, tuhuma zihakikiwe kama si za kweli asafishwe! Kama ni za kweli afanyiwe kama wanavyofanyiwa wengine wa jinsi hiyo! Wengine hufanyiwa hivyo hadharani!
Ili akili ndogo iongoze akili kubwa, right?Huu ukaguzi wa vyeti ungeanza tu kwa waajiliwa wapya, tuwaache watumishi wachape kazi
"Msema kweli ni mpenzi wa mungu"Katibu MKUU necta asipofanyia kazi tuhuma hizi anajinyima uhalali wa kufanyia kazi tuhuma zozote nyingine kuhusu vyeti! Mbona rahisi tu! Ni kufuatilia vyeti vya hawa watu wawili wanaotuhumiwa kupeana vyeti kuanzia SHULE ya msingi hadi vyuoni. Ikibainika ni kweli nitasikitika sana maana wengi tunamheshimu kama Shujaa wa Taifa kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya!
Tunamambo ya msingi tunafanya..... Hivyo tuuma za mkata kiuno aliyeachika yule pimbi.... Hatuwezi kuzijibu kwa sasaalivyokuwa anasema anaenda hukujua hilo!
acha kutapa tapa