Anachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Mkuu, kwani na wewe unaungana na kibo10?Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.
Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Mbona sijaona alichofanya Makonda kwenye vurugu zile, mbona anaongelewa sana humu?Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.
Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalaniAnachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....
Hata akijitetea hawezi kuharibu ushahidi na hata nafsi yake inamsuta, mtoto kakosa nidhamu, mjinga na m.p.mbavu sanaHata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.
Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
Kwani wewe u ajua nini zaidi ya kutumika tu na mafisadi?Hujui ukisemacho, na usijaribu tena kuonyesha ujinga wako hapa
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawaUna ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Naona watu wengine sasa mnatafuta sifa humu kuwa mmeonana uso kwa uso na mh. Makonda.Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa
Salaam!
Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba,Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha!