The Intelligent,Humu mtandaoni kuna watu ambao sio watanzania, wanapandikiza chuki kwa kujifanya wao ni wapinzani, kwa kuwa wanaweza kuandika kiswahili basi watanzania wanajua ni wenzao. Fanyeni ushenzi wenu lakini mtambue kuwa Dola iko macho na inafanya kazi.
Am I supposed to respond to this?!Wewe ndo huelewi kweli kumbe hii kauli mbiu ya elimu elimu itanufaisha wengi.sasa hapo jk anataka kinganganizi ccm is ingoke aachie watanzania tuamue
kagame ni mtu mdogo sana hawezi kutuumiza kichwa watanzania na kanchikake ambako kanalingana na mkoa wa tabora halafu mimi namlaum kikwete angeacha amemtia adabu kagame yani inatakiwa agongeshwe kipondo cha mbwa mwizi ingekua enzi za mkapa kagame angekua kishapokea kipondo mana alikua hataki matani ya kipuuzi huyu kagame anacho kitafuta atakipata ngoja aingie magufuli halafu amletee maigizo ya kijinga aone mana huyu magufuli nayeye hataki matani yakijinga kagame nimtu mdogo sana hawezi kutunyima usingizi watanzania.
This's too funny! Jesus Christ, the guy we believe is anointed, huku wengine wakiamini ni Mungu, lakini bado out of ONLY 12 disciples bado mmoja wapo akaja kumsaliti lakini PK, even out of 3.6 million, ONLY 10 people ndio wenye matatizo nae! This's so funny ingawaje kunaweza kuwa na arguments 1000 kidogo ya Kiafrika Afrika, moja wapo ikiwa kwamba "yule mmoja wa Jesus" ilipaswa kuwa vile ili maandiko yatimie!Ni watu kumi tu nchi nzima ya Rwanda ndio wanaopinga kagame kuendelea kutawala Rwanda kwa kipindi cha tatu!!!
Only 10 Rwandans against Kagame's third term, say MPs - Africa | Daily Nation
Kagame ni mtu mdogo sana hawezi kutuumiza kichwa watanzania na kanchikake ambako kanalingana na mkoa wa tabora halafu mimi namlaum kikwete angeacha amemtia adabu kagame yani inatakiwa agongeshwe kipondo cha mbwa mwizi ingekua enzi za mkapa kagame angekua kishapokea kipondo mana alikua hataki matani ya kipuuzi huyu kagame anacho kitafuta atakipata ngoja aingie magufuli halafu amletee maigizo ya kijinga aone mana huyu magufuli nayeye hataki matani yakijinga kagame nimtu mdogo sana hawezi kutunyima usingizi watanzania.
Inashangaza kuona form six failure freeman Mbowe ndie mwenyekiti wa CHADEMA taifa kuwaongoza wasomi akina profesa baregu!
Usitulishe sumu:llama:Kwa mtu yoyote mwenye akli hawezi kushabikia mambo ya Kagame, Kagame ni hatari kwa ustawi wa taifa letu, kuna mengi yamejificha nyuma ya huyu mtu, usishadadie kisa anamfavour mtusi mwenzake EL. Yapo mengi usiyoyaelewa, kinachokuponza ni uhaba wako wa information. kagame ni hatari tena hatari sana kwa nchi yetu.
Mnajidanganya.ICC inachukua mijitu kama mbowe inayohamasisha kukaa mita 200.kamuulize Ruto au arap Sang
najaribu kugoogle Kagame aliisema wapi hiyo sipati jibu, by the way Kagame inafahamika wazi kwamba ni dictator, no way to compare him with Kikwete anayeondoka madarakani Kwa hiari baada ya mda wake kwisha
Usitulishe sumu:llama:
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"
Kagame, Paul
SOURCE DW
Mwanzo wa thread amesema source ni DW (Deutsche Welle) Shirika la Utangazaji la Ujerumani; na mimi nilikuwa nimeamini hivyo. Sasa anaulizwa source anasema ni yeye mwenyewe!! Tafadhali afafanue ili tuelewe ukweli wa thread yake.