Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

Kama kweli huyu bwana PK aliongea hivi, binafsi ni nchi za jirani R na B wanasubiri kwa hamu kujua kama kweli Chama Kaka kikishindwa kitakabidhi madaraka kwa chama mbadala ama ndo watatumia bao la mkono kuhalalisha ushindi wao katika uchaguzi huu!
Kiujumla nchi zote za jirani zinafuatilia kwa makini saana uchaguzi huu wa tanzania kwa sasa! Na pengine ni fursa sasa kwa vyombo vyetu vya habari kama startv, itv na hata tbc kueleza habazi za kweli kwa nini kinachotokea.

Mkuu nikweli kabisa pia nchi wafadhili wapo makini pia vyombo vya habari vimeisha nunuliwa na CCM hakuna kitu kinachoweza kuelezwa kwa uwazi!
 
Anang'ang'ania Kuwa Kijiti Lazima Amuachie Magufuli ndiyo maana wanamfuatilia kwa Ukaribu au Kiingereza kinakushinda!

Lugha ya Queen inaleta shida!!! labda yeye anafikiri kuikanyaga democracy ni kubadiri katiba tu, hata goal la mkono na kulazimisha kubaki madarakani hata pale chama kikiwa kimeshindwa ni kuikanyaga democracy.
 
Nataka wote mfahamu kuwa kukua kwa demokrasia Tz ni mafanikio ya CCM pia chini ya JK
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW
 
Unafikiri Kikwete anvyoinua Tezi Dume lake na
Kutangaza Kuwa CCM itatumia kila njia kushinda
Uchaguzi tunazo mbinu zote na Maarifa hapo
wakina Kagame wanamfatilia kupitia vyombo vya
habari and Kikwete he is not willing kukabidhi
nchi kwa Upinzani na Demokrasia haiusishi katiba
tuu alichokia akijaribu hapo Kagame kua ajiandae
kisaikolojia kuachia nchi kwa chama cha
Upinzani.



Pia huu ujinga haupo tuu jamii forums nahisi hata huko unakotoka huenda ukawa unaitwa Jinga lao
Allen Snr Aka Kizimbuzi
Sina matatizo na madai yako dhidi ya JK, unahitaji kunisoma tena ili kuuelewa ujinga ninao uongele hapa ni upi?

Naomba kwanza source ya habari yako vinginevyo utabaki kuwa ni ujinga tu
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
Inashangaza kuona form six failure freeman Mbowe ndie mwenyekiti wa CHADEMA taifa kuwaongoza wasomi akina profesa baregu!

Nani kakuambia kuna chuo cha kusomea uwenyekiti wa chama. Haya ndio yale yale ya Kikwete.
 
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"

Kagame, Paul

SOURCE DW

Amenena vema
 
Well said, t's high time nw, 2 walk the talk, can president kikwete walk on the path of the talk????
 
Yup! Tz hebu tuwaonyeshe jirani zetu shughuli kamili inavyotakiwa kufanyika pale watawala walewapo madaraka kama chimpumu
 
Tofauti kubwa zaidi ya Kikwete na hao wawili ni kuwa Kikwete kakubali kuondoka baada ya 10 years.

Ila kama Kikwete ataridhia kama wapiga kura wataamua na chama chake kiondoke hilo ni la muhimu pia
 
Sasa umempendea nini Kagame? In terms of democratic leadership huwezi kulinganisha Tanzania na Rwanda.

Ndio tunataka tuone hiyo demokrasia inayohubiriwa ipo tz hapo October.
 
Back
Top Bottom