BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Ila Kama Rais Kikwete anataka kuendelea na heshima katika jumuia ya kimataifa ni hapa huu ndiyo mtihani kwake na wakifa watu naninavyoona ICC deligation ya watu 20 na ushee hata pona!
Kwahiyo anataka na jk abadili katiba kama yeye kagame mjinga sana.
We mwana ccmzoo.Mkuu unajua watu hawaelewi kuwa Kagame ana interest sana na Tz kutokana na mambo yake kule DRC. Anafahamu kichapo alichopokea kupitia M23 kiliharibu sana mipango yake. Ni mmoja wa watu wa kuangalia sana maana anatamani Tanzania iingie katika machafuko ili mipango yake iende sawa. Hana interest na demokrasia ya aina yoyote
Watanzania wakumbuke alishatoa ahadi ata 'hit hard kwa JK'
Huyu jamaa ni hatari sana kwa ustawi wetu. Dua na sala zake ni kuiona Tz inaingia pabaya ili aweze kufanya atakayo!
Hasira zake ni pamoja na zile za kuambiwa akae pamoja na waasi.
Yaani hataki kuiona Tz katika amani . Tusimshangilie ni kiumbe hatari sana huyu. Kaua wapinzani wake hata wakiwa ughaibuni
Kwake tofauti kati ya damu na maji ni rangi tu.
Tufanye mambo yetu bila kuingiliwa na PK. Hatuhitaji ushauri wake kwa namna yoyote ile. Anatushauri nini ikiwa anaweza kutoa roho wenzake hata wakiwa wamemkimbia?
Kama ni demokrasia ni sisi watanzania tunaoamua kwa hatma yetu, Tufanye kwa ajili yetu naye afanye yake huko Rwanda
Kagame na miaka 17 ya kuua wenzake , neno demokrasia ni haramu hata kulitaja kutoka kinywani mwake.
Kwa Watanzania, anachoongea Kagame si demokrasia bali hasira za kuondolewa DRC kwa kichapo
Ni mmoja wa watu wanaosubiri machafuko Tanzania na huenda hata kuchochea kwa aina fulani
Tuwe waangalifu
JokaKuu
Leo Chaggadema wanaongea Lugha moja na Dikteta Kagame.Kila siku mimi nasema "Chaggadema imejaa MAZUZU na ni Chama cha KIBOGUS kuwahi kutokea Tanzania.Watanzania makini wote tumekipuuza.Kimebaki na wala ngada na wanywa viroba na bange.Hivi Kagame naye ni mtu wa kumshabikia kabisa???!iStupid
Sikubaliani na namna JK anavofanya mambo mengi ndani na nje ya chama lakini nasema; Huyo Kagame afunge mdomo wake na akae kimya.
Keep busy with your country .. Wachana na Sisi You Psychic Vampire.
Ni kweli , humu JF kuna watu wanafikiri alichomaanisha ni kwamba lazima Ukawa washinde na kwa sababu wanaona lazima washinde. Short of that haitakuwa demokrasia. Huu ni upuuzi, tatizo la JF sasa hivi kumejaa majobless wengi, watu wamemaliza vyuo Vikuu, kazi hamna, siku moja nimewakuta wako wanabishana tumpigie kura Lowasa akipata urais lazima atawafukuza wafanyakazi na sisi tutapata kazi. Nilicheka sana, nikagundua kumbe haya mafuriko kila mtu ana expectation zakeMkuu labda lugha iliyotumika hukuilewa pengine siyo lugha rafiki sana, hajagusia ni nani anashinda au kushindwa. Alichokisema ni kuwa uchaguzi huu utakuwa ni kipimo cha demokrasia.
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm
We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm
..ndugu yangu, hata saa mbovu mara moja kwa siku huonyesha muda sahihi.
..Kagame pamoja na mapungufu yake ktk masuala ya demokrasia na haki za binadamu, hajakosea kum-challenge JK afuate matakwa ya katiba ya Tanzania, na asijaribu kuchezea matokeo ya uchaguzi.
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
Hivi Watanzania tumekuwaje? Huyu bwana tunajua ana inda na Tz kwasababu ya kichapo cha M23 na uwepo wake kule DRC.We mwana ccmzoo.
Kagame ukimpa tz anaweza kutumia bandari ya dar peke yake kunyanyua uchumi wa tz nabmaisha ya watz.
Ccm na wana ccm mmefikia kikomo cha kufikiri. Mambo mengi mlikuwa mnafanya kwa kificho kwa miaka 50 lkn leo kila kitu peupe.
RIP ccm
umeshamuona jk anapigia kampeni mtu tangu zianze?,,,,kwa taarifa tu miaka ya nyuma mwenyekiti wa ccm ambaye ndo rais alikua anampigia kampeini mgombea wa ccm,mwakahuu ni tofauti...bado siku nne,umeona jk kapiga kampein wapi?....
..CCM ktk kampeni hizi wana-behave kama vyama vya KIFASHISTI.
..kuna viashiria vingi kwamba JK na CCM hawako tayari kupokea matokeo yatayowapa ushindi UKAWA.
..sasa Kagame ameyaona hayo, ndiyo kamtupia "kidongo" JK kuwa itakapofika Oct 25/26 aonyeshe mfano kwa kuondoka kwa hiari yake ikulu.
NB:
..machafuko yakitokea nchi hii bila shaka yatakuwa yamesababishwa na CCM na NEC.
cc zumbemkuu Bukyanagandi, kidum