Simiyu Mojo
New Member
- Sep 3, 2013
- 2
- 1
ubaya wa mgogoro huu ni kwamba unasababisha tz itengwe na mataifa mengine ya EAC. it will cause great economical setbacks kwa nchi yetu so kama vipi warekebishe mambo mapema. wenzetu wa kenya uganda na rwanda washaanza kupanga mipango mikubwa ya kiuchumi na kutuisolate sisi. i suggest wakati fukuto linaendelea turudi kule ambako historia inatuvuta zaidi, kusini. tuimarishe ushirikiano wa kiuchumi na zambia, malawi na hata burundi ili huku pakibuma tutokee mlango wa pili. i believe kwa population tuliyonayo sisi tukipata viongozi wanaoweza kusimamia rasilimali zilizopo na ambao wanaweza kusimamia watumishi wa serikali tutapiga hatua sana.
Getstart,
Very true. Pres Kagame is at times paranoid. This is why I tell people here that the situation is a lot more complex than a Tutsi vs Hutu strife. There are issues that transcend ethnic lines. Pres Kagame does not trust many people in Rwanda, and who is to blame him given the history of that country. There are many Tutsi who do not support the president. So simply being Tutsi is not a green light to doing whatever you want. There are people even within the RPF who are at loggerheads with Paul. But then again, what's a leader to do when you have an overcrowded poor populus divided along ethnic lines to herd? Do you sit back and play weak leader and see your country for which you fought disintegrate into chaos? Or do you man up, "control" the opposition, thwart genocidaires and maintain safety and security and prosperity?Why arent people discussing about the many positive outcomes of Pres Kagame's leadership across Rwanda?Anyway, I am not condoning how Pres Kagame leads but I understand.
kibavu,
..sisi tulikaa kimya wakati Kagame, Museveni, na makundi ya waasi, wakiua Wacongo kwa mamilioni na kupora madini.
..tulitakiwa tusimame upande wa Kabila Snr, Zimbabwe, Namibia,na Angola.
..kama hilo lilishindikana tulitakiwa tulaani uvamizi wa Rwanda na Uganda dhidi ya Congo, mwanachama mwenzetu ktk SADC.
..bila msaada wa Zimbabwe, Congo ingesambaratika na kuwa balaa kubwa kuliko hata Somalia.
..Prof.Wamba Dia Wamba alikuwa anatumika kwenye kikundi cha waasi kilichoanzishwa na Museveni.
..bahati nzuri ni kwamba Prof.Wamba Dia Wamba alikuja ku-realize kwamba anatumika against his own country and ppl.
Pale namba 2 naomba nikusahihishe. JK hajafanikiwa hata kidogo kurudisha hali ya zamani ya TISS. Kosa kubwa alilofanya ni kumchagua Othman, aliyekuwa small time intelligence officer ubalozi wa London kuongoza taasisi kubwa kama hii.Wakuu hapa kuna mambo ningependa kuyaweka kama angalizo katika kelele hizi za Rwanda na Tanzania
- Kuna wakati kulikuwa kuna move ya kutengeneza Tutsi Empire, zoezi hili lilikuwa limesimamiwa na PK na watu wake, utawala huu ulikuwa na lengo la kumiliki eneo lote la maziwa makuu, kikwazo kikawa ni Tanzania sijajua walifikia wapi... Au wakati ndio huu wameshajipanga.
- Wakati wa utawala wa rais wetu Mh. Ben kitengo chetu cha ujasusi (TISS) kilikuwa taabani, tukabaki tunategemea kile cha jeshi, JK alivyoingia alirejesha hali ya TISS kama zamani, Sijui kama waliweza kurudisha nguvu zao kutokea pale walipositishwa na kuwa na ubora kama zamani au ndio PK anapitia katika uchochoro huo uliotokana na madhaifu kututenda.
- Kwa taarifa tu wote tujue Watutsi wamejaa kila mahali katika system zetu za kiusalama katika ngazi za juu sana... Je Isijekuwa ilikuwa ni Strategy ya PK kuwaweka watu wake na sasa amefanikiwa.. anataka kulianzisha.
- Yule Kanali wetu aliyetoweka JWTZ wamesema ukweli? Inasemekana yupo kwa PK. Mnatafakari nini juu ya kuondoka kwake? Au ndio tumeridhika na kuondoka kwake tunaendleza maisha bila shida wala mawazo yoyote
- Na mwisho ni kukumbushana tu..... DRC sasa hivi haitawaliki kwa kuwa watu wamegawana vitalu vya kuchimba madini ndani ya nchi ile.... Yawezekana pia PK akawa ametumwa kuifanya Tanzania iwe kama DRC, kuwe na vita ambayo haitakwisha mpaka siku madini yaekwisha, ili wagawane vitalu ndani ya TZ. Nawajulisha pia na najua Wengi mtakuwa hamjui hili.... Imeshafanyika Survey ya nchi nzima na kampuni ya Canada ili kujua wapi kuna madini katika nchi hii, ni ya aina gani, na yanakadiriwa kuwa kiasi gani. Wakuu wa vita watakuwa wameshagawana nchi sisi hatujui... TISS mtatuokua juu ya hili.
Kuna mengi ya kuwaandikia hapa. mtanisamehe kwa maelezo marefu.
ubaya wa mgogoro huu ni kwamba unasababisha tz itengwe na mataifa mengine ya EAC. it will cause great economical setbacks kwa nchi yetu so kama vipi warekebishe mambo mapema. wenzetu wa kenya uganda na rwanda washaanza kupanga mipango mikubwa ya kiuchumi na kutuisolate sisi. i suggest wakati fukuto linaendelea turudi kule ambako historia inatuvuta zaidi, kusini. tuimarishe ushirikiano wa kiuchumi na zambia, malawi na hata burundi ili huku pakibuma tutokee mlango wa pili. i believe kwa population tuliyonayo sisi tukipata viongozi wanaoweza kusimamia rasilimali zilizopo na ambao wanaweza kusimamia watumishi wa serikali tutapiga hatua sana.
Pale namba 2 naomba nikusahihishe. JK hajafanikiwa hata kidogo kurudisha hali ya zamani ya TISS. Kosa kubwa alilofanya ni kumchagua Othman, aliyekuwa small time intelligence officer ubalozi wa London kuongoza taasisi kubwa kama hii.
Othman ameshindwa kucommand respect ya maafisa wake kama Director. Hata unakumbuka baada ya uchaguzi wa 2010 ni Zoka ndiye aliyeongea na press kukanusha shutuma za Dr. Slaa. Chini ya uongozi wa Othman TISS imegawanyika na sidhani kama atafanikiwa kurudisha nidhamu inayohitajika pale.
Acha comedy wewe,kagame kakulia Uganda maisha yake yote.
Duuh, no comment. Kunawatu wanajua mambo jamani. Nashukuru nchi yangu majasusi wake hawana tamaa na madaraka. Watu wanamjua Kagame aliyekombali, je huyu raisi wetu sindio wanamjua nje ndani. Uzi huu umenifundisha kitu. Thanx Jf, Kweli kabla ya kumpiga Raisi kura 2015 naomba wakuu Moshe dejan na de'levis mje mtuchambulie wagombea jinsi walivyo maana tunaweza kuingia kwenye mkumbo. SALUT
Kumbe ni vita ya Osama na Marekani. Mbinu zilizotumika kwa osama zinafaa sana kupambana naye. Tuachane na bataliani turudi kwenye special task force.
ubaya wa mgogoro huu ni kwamba unasababisha tz itengwe na mataifa mengine ya EAC. it will cause great economical setbacks kwa nchi yetu so kama vipi warekebishe mambo mapema. wenzetu wa kenya uganda na rwanda washaanza kupanga mipango mikubwa ya kiuchumi na kutuisolate sisi. i suggest wakati fukuto linaendelea turudi kule ambako historia inatuvuta zaidi, kusini. tuimarishe ushirikiano wa kiuchumi na zambia, malawi na hata burundi ili huku pakibuma tutokee mlango wa pili. i believe kwa population tuliyonayo sisi tukipata viongozi wanaoweza kusimamia rasilimali zilizopo na ambao wanaweza kusimamia watumishi wa serikali tutapiga hatua sana.
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??
It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?
Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.
Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.
A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
You do not have to be a 'dictator' and 'murderous' but you need to be a leader who brings together the communities...
Hizi story za Kagame kuvamia Congo umezitoa wapi? naona umeamua kaundika chochote ant PK maana umegundua wengi humu hawana idea na wanachoandika au kusoma kuhusu Rwanda.
Gestart mkuu Pres Kagame has tried very hard to bring people together. It's not like he is only bailing out Tutsis. Remember most of the people in Rwanda are Hutu - I think 85% if not more. Yes, he has placed some Tutsis in key positions due to loyalty but there are also many loyal Hutus in his team. Gen Nyamwasa is Tutsi and was once very close to Pres Kagame but he mutinied (vijana wa siku hizi wanaita "snitch" ha ha ha). Most founder members of the "Green Party" and their followers are Tutsis who oppose Pres Kagame. And trust me, if it weren't for PK's ironhand rule there would be bloodshed in Rwanda now. Wale watu sio wa kuwachekea kwa kuwa chuki yao dates back to 1959 - it's generational. And both sides - Tutsis and Hutus - are equally at fault. Rwanda needs a strong man to lead that country and Kagame is just that.
did they get rid of the whites (colonialists) or africans? If africans our country is to blame