Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
- Thread starter
-
- #81
PK alitoa kauli ambayo ukiitizama kwa undani nadhani kuna zaidi ya ushauri alopewa siku ile.
may be amekuwa akimvumilia jk for so long!
cc safari ni safari
PK alitoa kauli ambayo ukiitizama kwa undani nadhani kuna zaidi ya ushauri alopewa siku ile.
may be amekuwa akimvumilia jk for so long!
cc safari ni safari
Watu waliofirisika kiakili utawajua kwa kukimbilia ukabila!!
JK Hatumsemi kwa ukwere wake....ndio taabu yenu CCM MMEFILISIKA KIAKILI!
vipi mleta mada, dikteta kagame hajaanza kuropoka kama kawaida yake? tafadhali tujuze.
Nina wasiwasi wa ukweli wa habari hiiHotuba itatangazwa na Kigali FM 100.2. Atatumia muda huo kujibu hoja za JK dhidi yake na kuiambia Rwanda nini cha kufanya.
Nina wasiwasi wa ukweli wa habari hii
Kaanza. Lakini si unajua na mimi mwenyewe nategemea taarifa kutoka kwa kakangu aliyeko Kigali. Nasikia nchi yote imezizima kwa sasa. Ngoja tusubiri tusikia.
Kaanza. Lakini si unajua na mimi mwenyewe nategemea taarifa kutoka kwa kakangu aliyeko Kigali. Nasikia nchi yote imezizima kwa sasa. Ngoja tusubiri tusikia.
Paul Kagame is a man of Afrika hakunaga mwingine kama Paul Kagame.the Best President ever
Ndio unijue xaxa, naitwa Mipangomingi, nina mipango zaidi ya elfu milioni; ila sijaanza utekelezajikwanza sikujui wewe
Paul Kagame is a man of Afrika hakunaga mwingine kama Paul Kagame.the Best President ever
Wewe lazima utakuwa mtusi.Paul Kagame is a man of Afrika hakunaga mwingine kama Paul Kagame.the Best President ever
Wewe ndio huna akili kama kagame. Kushauriwa tu ndio kutukana badala ya kusema tu hutaki ushauri!Cjui nani mchokoz ila nahis tz ndio wachokoz na kama ndivyo tukipigana watatupiga mana MUNGU ATAKUWA UPANDE WAo.
naisubiri kwa hamu hotuba ya simba wa afrika kagame
Imezizima kwa lipi Mkuu?