Paul Kagame huyu huku!

Paul Kagame huyu huku!

,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!

Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
 
Kagame anapendwa na watu wa Rwanda, Si sahihi kumuita Dictator hasa ukuzingatia Historia ya Rwanda.
 
Mashetani huchaguana wao kwa wao, na malaika huchaguana wao kwa wao pia.
Hata shetani wana malaika pia...Shetani akitaka kuliangamiza Taifa hutumia mtu na Mungu akitaka kuliinua Taifa hutumia mtu, ni suala la kupata hekma ya kujua nani katumwa na nani kufanya nini!
 
Ni kweli mkuu, na kizuri zaidi ni kuwa malaika wetu anategemea kuwa kiongozi mkuu wa malaika siku zijazo.
 
Kagame anapendwa na watu wa Rwanda, Si sahihi kumuita Dictator hasa ukuzingatia Historia ya Rwanda.
Anapendwa na watu anatengeneza mazingira ya kujifanya anapendwa na watu?
Kwa nn afuati utawala wa sheria?
Uhuru uko wapi Rwanda?
Demokrasia iko wapi Rwanda?

Think beyond the box mkuu
 
Attachments

Kwenye mikutano kama hii lugha haijawahi kuwa tatizo
Ulishawahi kumsikia Angela Merkel anaongea lugha tofauti na kijerumani?
Putin, jin Pi wa China,Kim Jong Un etc
 
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!

Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
Rehabilitate the rwandese national dignity around the world, t
Anapendwa na watu anatengeneza mazingira ya kujifanya anapendwa na watu?
Kwa nn afuati utawala wa sheria?
Uhuru uko wapi Rwanda?
Demokrasia iko wapi Rwanda?

Think beyond the box mkuu
I know all of these, lakini warwanda Wanaridhia hali hii. Wanasema Dignity as A nation ipo kote ulimwenguni pia Maendeleo kwa Nchi na Mwananchi moja moja ni dhahiri. Hakuna mbadala wa Kagame kwa maelezo yao. So tusiwasemee .. wanajua wapi wametoka hawataki kurudi huko.
 
Rehabilitate the rwandese national dignity around the world, t

I know all of these, lakini warwanda Wanaridhia hali hii. Wanasema Dignity as A nation ipo kote ulimwenguni pia Maendeleo kwa Nchi na Mwananchi moja moja ni dhahiri. Hakuna mbadala wa Kagame kwa maelezo yao. So tusiwasemee .. wanajua wapi wametoka hawataki kurudi huko.
Hakuna Mnyarwanda anayeridhia, labda close beneficiaries wa Kagame! Thank God I have a wife from Rwanda and I visit there more than thrice a year! and my in-laws live deep into Rwanda villages! Nasema ninachokisikia, kwa usiri mkubwa , maana ukisikika unampinga umepotea.
 
Rehabilitate the rwandese national dignity around the world, t

I know all of these, lakini warwanda Wanaridhia hali hii. Wanasema Dignity as A nation ipo kote ulimwenguni pia Maendeleo kwa Nchi na Mwananchi moja moja ni dhahiri. Hakuna mbadala wa Kagame kwa maelezo yao. So tusiwasemee .. wanajua wapi wametoka hawataki kurudi huko.
Capitalpool, sio kila linaloridhiwa limekubaliwa. Mengine ni malazimisho. Kutumia nguvu nyingi, kutisha, kuua huko si kuridhia. Unafanya hayo ili kuogofya wengine wasijitokeze. Wote wanywea kisha unasema mimi napendwa. TUSIDANGANYANE. Hakuna binadamu anayependa kukandamizwa, sote tunapenda uhuru. Hata wao wanapenda uhuru, ili wataupatawapi wakati wanachinjiwa Akagera.
Watu wanaogopa kuwa wakiondoka, kisasi watakachokuja kulipiziwa hakitoa kuwa na picha. so wameamua kung'ang'ania kwa State house.
Huo ni u-modern dictatorship Mkuu, hauna jina lingine
 
Sawa chief, ni vile tu raia wake huonekana kumuunga mkono. Mmoja wao alikua hapa na anaonekana kukubaliana na Kagame.
 
Mchunguze vizuri, atakuwa mtusi. (100%). Hao ndio wenye Nchi na ndio wanaofurahia maisha ya Rwanda.
 
Ni kweli mkuu, na kizuri zaidi ni kuwa malaika wetu anategemea kuwa kiongozi mkuu wa malaika siku zijazo.
Sasa sijajua atakuwa kiongozi wa malaika wa kambi ipi...kambi rasmi ya malaika ama kambi pinzani ya malaika Mbinuni!
 
Back
Top Bottom