Paul Kagame huyu huku!

Paul Kagame huyu huku!

Sasa sijajua atakuwa kiongozi wa malaika wa kambi ipi...kambi rasmi ya malaika ama kambi pinzani ya malaika Mbinuni!
Kwa sababu kule kuna kiongozi mkuu wa himaya, na kwa jinsi jamaa alivyo mbishi ni lazima atakuwa Kambi ya upinzani.
 
Hudhani kwa akili yake kule atatamani mwenye himaya apunguziwe mamlaka ili ayachukue yeye ajenge flyover pale njiapanda ya kwenda peponi/Motoni ili kupunguza msongamano na kuimprove muonekano wa pale?
 
JIbril atamdhibiti, kazi yake itakuwa kuchochea moto
 
JPM yupo Magogoni, ukimkosa hapo basi ni Dodoma, au akitoka out basi ni Bandarini, na kwenye uzinduzi wa matawi ya benki..sijui hachoki hiyo routine? Mimi napanga angalau nisafiri msimu huu wa Eid.
Bandarini kugawa mapapai au..?!
 
Jamaa yuko vizuri na kwa taarifa ARSENAL msimu ujao jezi zao zitakuwa zimeandikwa VISIT RWANDA
 
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
huyu jamaa tena wamemuweka mbele front line..
ndio maaana anampelekesha sana Magufuli na mererani yote kaichukua jamaa.

magufuli yeye yupo morogoro huko anagawa milioni 2 ..huku wizara zinapokea zero % kwenye bajeti..kweli kintu ni mshombe si nyama
 
Wewe umejuaje kama Kagame anachukuwa Tanzanite yetu? Isitoshe Kagame hana shida na Tanzanite ana access na rare earth minerals nchini kwake Rwanda na Kongo pia!
 
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
PaKa kazunguukwa na mabepari. kweli mwalimu alisema ubebari ni unyama
 
Wewe umejuaje kama Kagame anachukuwa Tanzanite yetu? Isitoshe Kagame hana shida na Tanzanite ana access na rare earth minerals nchini kwake Rwanda na Kongo pia!
kumbe sio kweli?

sasa hivi propaganda nani anazissambaza na kwa faida gani?
 
Hahahaaaa.eti yuko bize kununua Mapapai.Afu nasikia lile moja aliwapa mashabiki wa Yanga eti limefanana na jezi zao so ni Kombe lao kwa msimu wa 2017/2018
 
Kwenye siasa hakuna adui ama rafiki wa kudumu?So sishangai PK kuwa kwenye selfie moja na Rais wa Ufaransa
 
huyu jamaa mjanja sana, anaweza kuja kuitawala Africa, maana EAC kashaiweka mkononi tiari.
 
Back
Top Bottom