Paul Kagame huyu huku!

Paul Kagame huyu huku!

Cha ajabu unamuita Kagame dikteta wakati Muzungu mwenyewe aliyekufundisha hata kutamka neno dikteta anamkumbatia P.Kagame, P.Kagame ndiye Mwafrika pekee Dunia hii ambaye Muzungu anasikiliza, sasa sijui utakwenda kushitaki wapi na kwa nani atawasikiliza?
Tuweke kando kuhusu kama ni dikteta au sio.

Kwahiyo kama mzungu anamkubali na kumkumbatia ndio iwazuie wengine kuona au kusema ubaya wake?

Akili za lumumba hizi.
 
Hilo swali waulize chadema ambao kutwa hukimbilia kwa Muzungu kushitaki!
 
Una maana kumbe Magufuli naye anashirikiana na wazungu kutuhujumu?

Hilo swali nikuulize wewe na wenzako ambao hushinda kwa kwenye corridor za Muzungu kila siku kuishitaki nchi yetu!
 
Sasa kama ni kweli ma subhuman kama wewe mtakimbilia wapi? Kwa maana kwa Muzungu mtafukuzwa kama mbwa mwizi, huwezi kwenda kumchoma Kagame kwa Muzungu na Muzungu akakuelewa, atakuona wewe ndo una matatizo!
Mtasema number nyie waendeķeza matumbo wa ccm
 
Haya mambo anayaweza Jk tu, hapo ungeona yupo katikati na kicheko kibao.
Missing you ''mswahili'', ''mtu wa watu'','' master wa siasa'' na ''king wa utawala bora' '
Hakika mkuu, ila sijui kwanini wanashindwa kumshauri mwenzao manake hali ni mbaya ya kibiashara. Watu wamekata tamaa na Nchi yao🙁🙁🙁
 
Muulize kakobe atakuambia kilichomkuta baada ya kushauri ''...atubu....''
 
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!

Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
 
Lkn ni rafiki wa Muzungu!
 
Muulize kakobe atakuambia kilichomkuta baada ya kushauri ''...atubu....''
Hahaha.....kwahiyo hata kama tunakwenda in wrong direction hakuna wa kutusemea??Basi kazi ipo
 
Hilo swali nikuulize wewe na wenzako ambao hushinda kwa kwenye corridor za Muzungu kila siku kuishitaki nchi yetu!
Kagame naye kaenda kwa wazungu kuishitaki nchi yake? mbona unajichanganya mwenyewe.
 
A CIA operative.
Hata akae miaka 100 wazungu watakaa kimya maana ni MTU wao
 
Kagame ananuka damu, damu damu... still these CEOs lining up with a person accused of brutal dictatorship!

Paul Kagame: What Makes for a Tolerable Dictator?
Twenty-three years after the Hutu majority government committed mass genocide against close to 1 million Tutsis in 100 days, incumbent Paul Kagame won 99% of the votes in Rwanda’s presidential elections last Friday in an outcome that surprised no one. Two years previously, the government had proposed an amendment on term limits and had it rubber-stamped in a referendum that was widely criticized by human rights organizations, paving the road for Kagame to stay in office until 2034 if he so desires.
Mhutu Mkunziza naye kaamua kupiga hii kitu mpaka 2034
 
Hahaha.....kwahiyo hata kama tunakwenda in wrong direction hakuna wa kutusemea??Basi kazi ipo
Jaribu uone. Dawa huku ni kupiga zipu mdomo ili kuepuka kukutwa na yale ya wasiojulika
 
JPM yupo Magogoni, ukimkosa hapo basi ni Dodoma, au akitoka out basi ni Bandarini, na kwenye uzinduzi wa matawi ya benki..sijui hachoki hiyo routine? Mimi napanga angalau nisafiri msimu huu wa Eid.
 
Back
Top Bottom