Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,031
Kwi kwi kwi wee s shauri yakoAnaelewana lugha na wa-Chato wenzake tu
Kwi kwi kwi wee s shauri yakoAnaelewana lugha na wa-Chato wenzake tu
Kuuza mapapaiWa kwetu yuko wapi?
Ila PK mjanja sana, yaani ameshindwa hata kwenda na rafiki yake huko Ughaibuni angalau tupate uzoefu. Exposure muhimu jamani, yaani mtu umezungukwa na maCEOs unadhani Rwanda tutawakuta kiuchumi??Thubutu yetu😀😀😀😀😀
Yupo jirani na kivukoni, anawaza lini aende tena Chato!Wa kwetu yuko wapi?
Tatizo la Lumumba mkiona mnazidiwa hoja mnabadili mada.Kwa hiyo? Kawaokoe basi au labda mwambie dada Kimambi muandame kwa Muzungu kumsemea!
Tatizo la Lumumba mkiona mnazidiwa hoja mnabadili mada.
Wazungu wanafaidika na madini ya DRC kupitia kwa dikteta Kagame, leta hoja kupinga au kukataa siyo kukimbilia ya Kimambi.
Hapo sijazungumzia udikteta, hapo nimezungumzia issue za kiuchumi, Biashara na uwekezaji ambapo Watanzania tumelala. Tusipokuwa na mazingira wezeshi tutawakimbiza wawekezaji waliopo pamoja na kuto attract new Investors, jambo ambalo si afya kwa uchumi wetu kama nchi na Mtu mmoja mmoja. Kagame ameamua kutupiga bao, ameanza kwenye utalii wakati sisi Watanzania tumelala usingizi wa Pono😎😎😎😎Nilifikri P.Kagame ni dikteta!
ChattleWa kwetu yuko wapi?
Anazindua mabweni na kiwanda cha fegi.Wa kwetu yuko wapi?
Haya mambo anayaweza Jk tu, hapo ungeona yupo katikati na kicheko kibao.Hapo sijazungumzia udikteta, hapo nimezungumzia issue za kiuchumi, Biashara na uwekezaji ambapo Watanzania tumelala. Tusipokuwa na mazingira wezeshi tutawakimbiza wawekezaji waliopo pamoja na kuto attract new Investors, jambo ambalo si afya kwa uchumi wetu kama nchi na Mtu mmoja mmoja. Kagame ameamua kutupiga bao, ameanza kwenye utalii wakati sisi Watanzania tumelala usingizi wa Pono😎😎😎😎
Sijui tulimkosea nini aliye juu hadi tukaletewa huyu aliye chini...Anaelewana lugha na wa-Chato wenzake tu
KumbeeeeeAnazindua mabweni na kiwanda cha fegi.
Anafanya nini sasaChattle
Una maana kumbe Magufuli naye anashirikiana na wazungu kutuhujumu?Ndo nimekwambia mtakimbilia wapi sasa kushitaki? Kwa maana chadema hukimbilia kwa Muzungu kushitaki sasa Muzungu mwenyewe hana mpango na ninyi, ssa mtakimbilia wapi?