Paul Kagame huyu huku!

Paul Kagame huyu huku!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.
 
P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani)

Hapo lazima kagame atoke na dili ya mabilioni, sisi wana piga 1.5 T
 
Leo ni yenu wanyarwanda kumsifia dikteta.

Cha ajabu unamuita Kagame dikteta wakati Muzungu mwenyewe aliyekufundisha hata kutamka neno dikteta anamkumbatia P.Kagame, P.Kagame ndiye Mwafrika pekee Dunia hii ambaye Muzungu anasikiliza, sasa sijui utakwenda kushitaki wapi na kwa nani atawasikiliza?
 
P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani)
Ameenda kumwakilisha mhutu mwenzie anaeongoza TANZANIA. Wanafikiria kuunganisha Tanzania na Rwanda. Hawa madikteta wawili wanajidanganya. Ila huyu wa Rwanda kidogo anayo akili anamdanganya mwenzie amwibie mali za tz halafu atakuja mwacha apambane na hali yake
 
Cha ajabu unamuita Kagame dikteta wakati Muzungu mwenyewe aliyekufundisha hata kutamka neno dikteta anamkumbatia P.Kagame, P.Kagame ndiye Mwafrika pekee Dunia hii ambaye Muzungu anasikiliza, sasa sijui utakwenda kushitaki wapi na kwa nani atawasikiliza?
Kama huwajui wazungu lengo lao ni madini ya congo kwa mgongo wa dikteta Kagame, ukiona hivyo jua wakongo watazidi kuteketea kwa muda mrefu sana.
 
Tunaweza kuchukulia kawaida but the man has serious problem!

"Kama huwezi kujifunza mambo mapya nikwamba wewe tayari u mzee ata kama una miaka 10"

Hata wewe pia una serious problem labda haujui tu!
 
,,Dikteta" P.Kagame akiwa na Raisi E.Macron, mdosi wa Facebook M.Zuckerberg na wengineo jijini Paris nchini Ufaransa, kwenye ,,tech for good sumit"!

630x356

Waliuohudhuria 50 tech CEOs wa tech Companies kama Uber CEO, IBM, John Kerry (waziri wa Mambo ya nje wa USA zamani) na wengineo.

Mkuu naona umeanza kumchoka Mwenyekiti wako
 
Ameenda kumwakilisha mhutu mwenzie anaeongoza TANZANIA. Wanafikiria kuunganisha Tanzania na Rwanda. Hawa madikteta wawili wanajidanganya. Ila huyu wa Rwanda kidogo anayo akili anamdanganya mwenzie amwibie mali za tz halafu atakuja mwacha apambane na hali yake

Sasa kama ni kweli ma subhuman kama wewe mtakimbilia wapi? Kwa maana kwa Muzungu mtafukuzwa kama mbwa mwizi, huwezi kwenda kumchoma Kagame kwa Muzungu na Muzungu akakuelewa, atakuona wewe ndo una matatizo!
 
Back
Top Bottom