Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Bavicha kuna pengo la John Heche na huyo Katambi hajaacha pengo lolote pale ...
 
Tantarira hamuwezekani kiboko yenu ni ile transparenty box yenye nembo ya nec ndio mtajua garasa au dume!
 
Mtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!
Ingekuwa kuondoka kwa Dr. Slaa kungeitingisha CHADEMA basi ingekuwa kipindi kile kigumu sana karibia na kampeni za uchaguzi. Hakuna aliyepanic na ndo watu waliimarika zaidi na hao kina Patrobas wakiwemo, itakuja kuwa leo hii Patrobas? Kimsingi dogo hajasoma alama za nyakati na itamcost soon or later
 
Hata aondoke Mbowe,Lissu,Mdee,Mnyika,Lema...nk SINATETEREKA NA NTABAKI CHADEMA KWA MOYO WANGU WOTE!!
 
mtikisiko wa dr slaa 2015 ufa wake umeonekana Nov 2017 na wa huyo patrobas utaonekana 2020 kubwa subra!
 
Zizini huko atawakuta walokatwa mikia wengine, km Mpendazote ili wasichoke kujifariji.
Na kina shibuda usiwasahau. Siamini kama mtoto wa nje anaweza kuwa na tabia zinazofanana na watoto wa ndoa. Kwa namna yoyote watapendwa kinafiki na wao kwa uzwazwa wao wakachekelea! Wakajipange kisawasawa kwa kuwa na mawazo mapya na sio kwenda kuisemea cdm maneno ya hovyo wakifikiri watapewa kick za kudumu!
 
mtikisiko wa dr slaa 2015 ufa wake umeonekana Nov 2017 na wa huyo patrobas utaonekana 2020 kubwa subra!
Ufa wa slaa haupo na hauonekani kwani tulipata wabunge na madiwani wengi kuliko kipindi chake. Huo wa katambi ni kadoa tu ka kufuta kwa kupuliza. Hiyo 2020 wekeni polisi mbali na mikono ya wizi kichwani muone kivumbi! Hamjiamini hata kidogo.
 
unatuma ujumbe gani kwa nyalandu!
 
Eti kaacha pengo? Kwani alikuwa magego ya chadema? Tuliwaambia huyu ni kijana wa diallo mwenyekiti wa ccm mwanza hamkutusikiliza
 
Kuna tatizo linalonyemelea CDM,tatizo ni watu waliojiunga kama chama mbadala.Mkianza kuwapapatikia wageni kutoka CCM na kuwasahau wanachama waliokitumikia chama kwa muda mrefu
 
Kuna tatizo linalonyemelea CDM,tatizo ni watu waliojiunga kama chama mbadala.Mkianza kuwapapatikia wageni kutoka CCM na kuwasahau wanachama waliokitumikia chama kwa muda mrefu
Sikio la kufa nccr imekufa kimzaha mzaha mara chalii!
 
Hivi mbwa koko akikimbia nyumbani ni hasara au faida? Nadhani ni faida kwa sababu hata majirani watafurahia kuku wao kuacha kuliwa na mbwa huyo.
 
Hivi mpk sasa wananchi tunajua tunachosimamia Kweli au ni Watumwa wa wanasiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…