PreGE2025 Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA

PreGE2025 Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Misingi ya demokrasia kuifuata yote ni kazi ngumu mno.maana demokrasia inataka hata wachache,wenye mawazo tofauti na ya wengi,nao waheshimiwe!
Hao hawana mawazo tofauti. Bali wanania ya kuukwamisha uongozi mpya. Wao wanataka cdm iingie kwenye uchaguzi bila reforms wanaakili kweli? Ati cdm imeua ndoto za vijana waliotaka kugombea...
 
Sasa anataka chama kiingie chaguzi, kwa mazingira ya kihuni yale yale 2019,2020,2024. --- hawa ni wakutimua tu
Haeleweki kabisa sijui ana matatizo ya ufahamu kwa sasa au alikuwa mlevi
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Haeleweki kabisa sijui ana matatizo ya ufahamu kwa sasa au alikuwa mlevi
Hapa ni kukubali tu wapo katika nyakati ngumu--- kuingia uchaguzi na mambo yale yale huku ni kujidanganya tu.
 
Hivi huyo kilewo si ndo alipigwa chini na mke wake Kisha kushindwa kumu mahitaji ya familia basi akipata mgao wake aende akambembeleze mke wake warudiane
 
Back
Top Bottom