patrick assenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Patrick Assenga arejea CHADEMA akitokea CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa CHAUMMA, Patrick Assenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama CHADEMA ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumanne Mei 26.2026, Assenga amesema maamuzi ya kurejea CHADEMA yamekuja...
  2. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri

    Ama kweli majuto ni mjukuu. Press ya leo ya Bony yai imewavua nguo G-55. Soma alichoandika Assenga. Ndugu yangu Bony ulikuwa wapi siku zote kuniambia haya? Unaona sasa NDUGU yako napigwa kama mpira wa Kona? SEGEREA hakukaliki, ROMBO ndio kabisa…hii habari za hii CHAUMMA zishakuwa ngumu...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia Tawi la Msimbazi, Kata ya Tabata, Jimbo la Segerea mkoa wa kichama wa chama hicho wa Ilala mkoani Dar es Salaam kimemvua rasmi uanachama mwanachama wake Patrick John Assenga, kwa kile kilichoelezwa kupinga hadharani maazimio rasmi ya chama...
Back
Top Bottom