Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 476
- 622
Wasiwape kadi za uhanachama ikitokea wakapata kadi CCM itawapa Uogozi mkuu kama walivyofanya kwa Cuf, CCM wajanja wanawarudisha ili wakachukue Uongozi.
Wasipe uhanachama ikitokea wamepewa msajili ataleta utapeli wa kuengua Uongozi uliopo ili ufanyike uchaguzi upya na wakina Msingwa watagombea na kushinda na kuwa Mwenyekiti na hapo CCM watakua wameshinda na kukiua Chama kama walivyo kiua chama cha CufMission imefeli so ni kuangalia namna ya kurud CDM, hawa kuku wawe wanachama wa kawaida tu
Erythrocyte ßahiri watu kwenye mikutano hii. Unda kitengo cha usajiriChadema wanashindwa nini kusajili wanachama wapya kwenye mikutano yao inayojaza wafuasi wengi,
Hili wimbi la kurudi kwa wasaliti wengi Lina agenda mbaya nyuma yake,
Mtu kama Selasini aliefanya mapinduzi Nccr leo unampokea aje kufanulya nini?
Kwa upuuzi huu utasikia hata Yeriko amerudi pamoja na matusi yote anayotukana,
Vyama vya upinzani viko vingi, wangeenda hata TLP,
Kwa CDM sio rahisi cz wanajua madhara yake, pia CDM ya lissu ni tofaut na CDM ya mboweWasipe uhanachama ikitokea wamepewa msajili ataleta utapeli wa kuengua Uongozi uliopo ili ufanyike uchaguzi upya na wakina Msingwa watagombea na kushinda na kuwa Mwenyekiti na hapo CCM watakua wameshinda na kukiua Chama kama walivyo kiua chama cha Cuf
Yericko Nyerere anarudi lini?...Aliyekuwa Kada wa CHAUMMA, Patrick Assenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama CHADEMA ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumanne Mei 26.2026, Assenga amesema maamuzi ya kurejea CHADEMA yamekuja baada ya tafakuri ya kina ambayo ameifanya na kujiridhisha pasipo na shaka kwamba CHAUMMA haina mwelekeo na dhamira ya kweli ya kuiondoa CCM madarakani, badala yake amebaini kuwa CHADEMA ndio chama pekee cha siasa chenye dhamira ya kweli kwa Watanzania na kinachoweza kuiondoa CCM madarakani na kushika Dola
Kupitia mkutano huo na Wanahabari, Assenga amewaomba radhi viongozi wa ngazi mbalimbali wa CHADEMA, wanachama na Watanzania kwa ujumla wake kwa maamuzi aliyokuwa ameyachukua hapo awali ya kukihama chama hicho, akiamini kwamba maamuzi hayo aliyafanya bila kutafakari kwa kina.
Pia soma
Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA
- Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri
Kwa hiyo tutegemee CHADEMA nao watatembea nayo hiyo kwenye mikusanyiko yao inayoendelea kama Sera yao mpya?Naamini atakuwa kawasili na sinia kubwa la ubwabwa kwa mandondo kutoka CHAUMMA.
Tutamsikiliza bwana Assenga atawashawishi kipi CDM.Kwa hiyo tutegemee CHADEMA nao watatembea nayo hiyo kwenye mikusanyiko yao inayoendelea kama Sera yao mpya?
Mkuu Mbatia mwenyewe aliingizwa kingi na Magufuli. Alimdanganya NCCR itakuwa chama rasmi cha upinzani, watapewa wabunge 20 ili awe mpinzani bandia. Kuna kipindi alienda Mbeya kwa escote ya polisi akapewa na magari. Matokeo yake akadanganywa na Selasini alifanya vizuri sana kumnyoosha. BTW huyu Asenga mbona ana sura ya kilevi namna hii! Hawa ndiyo walijiona ni magwiji wa kwenda kuendeleza CHAUMMA? Na kina Yeriko? Kazi kweli kweli.Ila,huyo mzee "Salasa" si mtu.Kwa walichomtenda "Mama Tanzania",Mola anamuona.
Wameanza kuimimbi MarekaniAliyekuwa Kada wa CHAUMMA, Patrick Assenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama CHADEMA ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumanne Mei 26.2026, Assenga amesema maamuzi ya kurejea CHADEMA yamekuja baada ya tafakuri ya kina ambayo ameifanya na kujiridhisha pasipo na shaka kwamba CHAUMMA haina mwelekeo na dhamira ya kweli ya kuiondoa CCM madarakani, badala yake amebaini kuwa CHADEMA ndio chama pekee cha siasa chenye dhamira ya kweli kwa Watanzania na kinachoweza kuiondoa CCM madarakani na kushika Dola
Kupitia mkutano huo na Wanahabari, Assenga amewaomba radhi viongozi wa ngazi mbalimbali wa CHADEMA, wanachama na Watanzania kwa ujumla wake kwa maamuzi aliyokuwa ameyachukua hapo awali ya kukihama chama hicho, akiamini kwamba maamuzi hayo aliyafanya bila kutafakari kwa kina.
Pia soma
Patrick Assenga avuliwa Uanachama CHADEMA
- Patrick Assenga ajutia kuondoka CHADEMA, amlaumu Boniface Jacob kwa kutokusema ukweli mapema. Amuomba Mungu ampe ujasiri
HahahaMkuu Mbatia mwenyewe aliingizwa kingi na Magufuli. Alimdanganya NCCR itakuwa chama rasmi cha upinzani, watapewa wabunge 20 ili awe mpinzani bandia. Kuna kipindi alienda Mbeya kwa escote ya polisi akapewa na magari. Matokeo yake akadanganywa na Selasini alifanya vizuri sana kumnyoosha. BTW huyu Asenga mbona ana sura ya kilevi namna hii! Hawa ndiyo walijiona ni magwiji wa kwenda kuendeleza CHAUMMA? Na kina Yeriko? Kazi kweli kweli.
chadema siyo ya kusambaratishwa tena hili li chama limeshindikana baada ya uchaguzi wake mkuuu 2025.Chadema kiwe Malini sana na hii rejeq rejea.
Kesi ya mbatia na kundi la kina selasini likaawe mfano kwao.
Twendeee tweendeee turudi nyumbaaaniii tweendeee tweendee turudi nyumbaniii tena woootee kwaumojawetu,bilaubaguzi wala chuki yeyote,karibuni sana makamanda mliokuwa mapumzikoni.