Patrick Assenga arejea CHADEMA akitokea CHAUMMA

Patrick Assenga arejea CHADEMA akitokea CHAUMMA

Washapoteana huko,watarejea wote waliofuata mkumbo!!
 
20260526_063534.jpg
Vijana wapenda nyama na pombe za bure Yericko Nyerere
 
Kwa hali ya sasa na kwa namna ya Wasaliti wanavyopiga Magoti kwa CHADEMA kuna haja ya kuanzisha kitengo maalum cha dharula cha usaili wa Wasaliti

Ningeomba pia niwe miongoni mwa Wajumbe wa Kamati hiyo
Na mimi waniweke🙂
 
Wapokeeni, lakini msiwaamini. Wapuuzi.
project ya kuhujumu cdm imegeuka kuwa turning point ya chama. Wamefeli sana hawa waliobeba uwakala wa sheitwani. Huwezi shindana na mpango wa Mungu, kamwe. Walikubali kutumika kiboya sana.
 
Chadema kiwe Malini sana na hii rejeq rejea.
Kesi ya mbatia na kundi la kina selasini likaawe mfano kwao.
Ikiwezekana wawakatae..Kama mbaya iwe mbaya.Haiwezekani watu waliondoka na kuinyeshea taasisi mvua ya matusi halafu baada ya muda mfupi wajifanye wamestaarabika.
 
Kwa hali ya sasa na kwa namna ya Wasaliti wanavyopiga Magoti kwa CHADEMA kuna haja ya kuanzisha kitengo maalum cha dharula cha usaili wa Wasaliti

Ningeomba pia niwe miongoni mwa Wajumbe wa Kamati hiyo
Wote hao pamoja na Salum Mwalimu wapokelewe lakini baada ya kupata fimbo mbili za matakoni kila mmoja.
 
Back
Top Bottom