Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Hata MIE mwenyewe nimesoma hichi chuo mkuu. Wale wanaojua mitro bilyaeva, IKEA na ashan supermarket tulipokuwa tunaemea atanijua. Pia club maarufu pale centre ya Moscow tukisafiri na underground train aka metro
Hujajibu swali mkuu. Swali limeuliza hivi "Baadhi ya watanzania waliosoma pale ni akina nani?"
 
Hiyo "mie" uliiandika kwa CAPITAL LETTERS nikadhania labda ni abbreviation ya neno fulani refu.

Sasa nimekuelewa mzee baba.
Unayosema ni kweli Mara nyingi ni wazee ndio wanaofundisha chuoni hapo mkuu. Kuna vibibi na vizee umri imeenda sana. Vijana ni wachache sana mkuu kiukweli. Muda wakati nasoma pale kuna muda Hugo Chavez alitembelea pale chuoni wakatafsiri kwa kirusi na English pia. Nachokumbuka ni kuwa hata waafrika mnaosoma hapa yabidi mje kurudi nchini kwenu ili kuzijenga nchi zenu. Kiukweli ilitolewa lecture ya kijamaa,kikomunisti na ya mlengo Wa kulia
 
Unayosema ni kweli Mara nyingi ni wazee ndio wanaofundisha chuoni hapo mkuu. Kuna vibibi na vizee umri imeenda sana. Vijana ni wachache sana mkuu kiukweli. Muda wakati nasoma pale kuna muda Hugo Chavez alitembelea pale chuoni wakatafsiri kwa kirusi na English pia.
Mpaka Hugo Chavez alikuka aisee wako vizuri sana@
 
Unayosema ni kweli Mara nyingi ni wazee ndio wanaofundisha chuoni hapo mkuu. Kuna vibibi na vizee umri imeenda sana. Vijana ni wachache sana mkuu kiukweli. Muda wakati nasoma pale kuna muda Hugo Chavez alitembelea pale chuoni wakatafsiri kwa kirusi na English pia. Nachokumbuka ni kuwa hata waafrika mnaosoma hapa yabidi mje kurudi nchini kwenu ili kuzijenga nchi zenu. Kiukweli ilitolewa lecture ya kijamaa,kikomunisti na ya mlengo Wa kulia
Hao ndio USSR wajamaa waliotukuka
 
Back
Top Bottom