Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'
Hapana mwambie acheze karata yake vizuri nipo kwa ajiri yake hatakuja kulalamika tena humu nitatumia nafasi vizuri endapo nitapewa
Salam zangu za valentine ziende kwa swahiba Tonykp!
Jamani mke mwenza ndo nini sasa hivo? Ebu njo kwanza unsaidie apa
Ngoja tumsubiri maana saa tisa ndo hiiKwa jinsi nilivyoona jamaa ameshamwagwa tayari! Ila inatafutwa njia ya kumfukishia ujumbe, kazi kwako sasa, Mtoto leo usilale nae home, kalale nae hotel pembeni na beach ili feelings zake zirudi kawaida.
Yaani hapa mpaka kieleweke aiseenawewe? Naona unachangamkia fursa kaza buti hadi kieleweke
Hapa hakuna dawa wala nini ni mapenzi tu mtoto ndo uamuzi wa mwisho tusipigane vikumbo maana saa tisa ndo hiiNo will separate me and my wife hata mtumie waganga wa kichina
No will separate me and my wife hata mtumie waganga wa kichina
Naomba sababu 8 hizo siku tatu ulikua wapi? na ulikua na nan? na kwanini ulikua unanikatia cm? Na uliondokaje bila kuhakikisha friji imejaa wala kuniachia hela ya matumizi?? Can u explain this 2 me
Naomba sababu 8 hizo siku tatu ulikua wapi? na ulikua na nan? na kwanini ulikua unanikatia cm? Na uliondokaje bila kuhakikisha friji imejaa wala kuniachia hela ya matumizi?? Can u explain this 2 me
Heeee kazi leo ipoooo!!!
i love my woman...
Prove it so maneno matupu toa sababu ulizoulizwa
Hapa ndio PM???
Nawewe huyo mtoto wa watu utambemenda jamani.
Nenda kule kwingine kaangalie nimekuachia ujumbe wako ukijibu tutaanza angalia nini kifuate.
Kumbe nijibu mara ngapi???
Nimeshaona tutakutana PM sawa?
Niko PM muda mrefu nakusubiri. Hakikisha unakuja without kuokoa muda.