Patachimbikaaaaaa!!!!

Patachimbikaaaaaa!!!!

Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.

Ok dady nakusubiri,sasa sio ukakamatike kule upotee mazima. Uwahi kurudi home leo tule pamoja
 
Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.

Samahani Mzee Baba V nami nimempenda bint yako Bantu lady mchumba wake haonekani muda sasa naweza kuleta barua ya Posa?!.
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.

baba mke kwani mwanao ana wachumba wangapi zaidi yangu?
nijulishe mapema posa yangu isipotee bure, kwani ndiyo nipo kwenye mpango wa kuitoa..
 
Mkuu case imeshakuwa kubwa mpaka amemuita baba mkwe ujue tayari anamaamuzi yake kichwani, nakushauri utafute mnyonge mmpore mke utulie, subiri hiyo saa tisa usikie maamuzi magumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom