Nikupitie tukale mix (ulojo)
Mie naomba muniletee bagia na chatne.....
Nikupitie tukale mix (ulojo)
Prove it so maneno matupu toa sababu ulizoulizwa
Mie naomba muniletee bagia na chatne.....
walah! mi hata sio mchokozi bana!
happy valentine shem! vp Arushaone alichunjia hata kakondoo unywe supu??
huyu jamaa najua ni bahili sana!!! namjua sana a1!
Hahahaaaa we mbeya
Mimi nimeshamuambia akikubali leo basi kesho naenda kutoa posa nasubiri uamuzi wake tu hapa!Du sasa huyu bint si anafaa kuolewa kwanini wanafanya hivyo? Kama field halafu kazi kwingine haiwezekani nitamfuata kesho nimshauri.
Umeona eee wanafikiri kauli mbiu ya clous ya chukua fursa twende zatu hatujaielewa hapa ni fursa tu
Tony alisema anamalizia ujana
Nitakuletea nawe unapenda mix?!.
Hahahahaha mie ndio mwenyewe ivoo chakula cha kwetu icho...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Umeona eee wanafikiri kauli mbiu ya clous ya chukua fursa twende zatu hatujaielewa hapa ni fursa tu