Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,880
- 5,725
Ulikuwa poa sana ndo namalizia kupanga zawadi zangu
Ulitoka na nani? Naomba tuongee kidogo.
Ulikuwa poa sana ndo namalizia kupanga zawadi zangu
Kumbe Bantu Lady ni mtoto wa Baba V?
Mkuu case imeshakuwa kubwa mpaka amemuita baba mkwe ujue tayari anamaamuzi yake kichwani, nakushauri utafute mnyonge mmpore mke utulie, subiri hiyo saa tisa usikie maamuzi magumu.
Duh bora akampige chini kule PM lakini hapa nitamcheka balaa
i love her and i have 8 flowers for her
Niko hapa mzee kijana mtulivu nitamfariji mwanao na baada ya maamuzi nitakuja haraka kumlipia mahari wasikuzeeshe bure ukafa kwa preshaMwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.
Hahahahaa naona unajipigia promo kwa mzeeSamahani Mzee Baba V nami nimempenda bint yako Bantu lady mchumba wake haonekani muda sasa naweza kuleta barua ya Posa?!.
Yeye hajaolewa?
Hahahahaa naona unajipigia promo kwa mzee
Ulitoka na nani? Naomba tuongee kidogo.
mpango uliopo ni mimi kwenda kutoa posa tu
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo
Huyo anasubiri maamuzi ya CC kama anataka apeleke zuio mahakamani la kuto kumjadiliKatoe haraka sana kabla haujamwaga maana nimehisi ni wewe
Na my hubby
Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'Yaani najitahidi lakini Mtoto mgumu kweli, ila sijakata tamaa, akikubari naoa kabisa, kweli kutongoza kazi kumshawishi mtu na hakiri zake mpaka aanze kutoa nguo, inahitaji skills!!
Hapana mwambie acheze karata yake vizuri nipo kwa ajiri yake hatakuja kulalamika tena humu nitatumia nafasi vizuri endapo nitapewanilikuambia uache kummendea mume wangu kabla ya valentine but ukusikia...... Sa imekula kwako
Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'