Patachimbikaaaaaa!!!!

Patachimbikaaaaaa!!!!

Mi simoooo mapenzi ni ya watu wawili.
Sipati picha shostito wangu hapo ulipo. Hebu jaribu kumcheck kwa njia nyingine basi sweet.
Mi mwenzako kila dakika Sungura1980 lazima anitafute ajue kama niko okay. Nampendaje huyu mwanaume acha tu.
Pole best
 
Acha tu shost,my huby simwelewi sikuhizi. Mzee kila siku anamsubiri aje kujitambulisha home lakini hatokei. Sijui ndo anamalizia ujana jamani
 
Nikwambie kitu? acha kwenda mitaa ya kutongozana anasikia wivu unashinda kwenye ile nyumba wakati ulishatoka huko. Mimi sikanyagi labda kwa jambo la muhimu tu.
 
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo
Dah pole sana siku kama ya leo hupaswi kuwa peke yako ukiona hivyo yuko kwa bimdogo,kumbe hata ndoa hajatangaza anakufuja tu hebu njoo huku nikuliwaze maana hapo utamsubiri sana
 
Nikwambie kitu? acha kwenda mitaa ya kutongozana anasikia wivu unashinda kwenye ile nyumba wakati ulishatoka huko. Mimi sikanyagi labda kwa jambo la muhimu tu.
Kule aje tu maana anaweza akapata wa kumtuliza moyo maanaa huu upweke balaa
 
Dah pole sana siku kama ya leo hupaswi kuwa peke yako ukiona hivyo yuko kwa bimdogo,kumbe hata ndoa hajatangaza anakufuja tu hebu njoo huku nikuliwaze maana hapo utamsubiri sana

Heheee ngoja kagiza kaingie asiporudi nakuja huko
 
Nikwambie kitu? acha kwenda mitaa ya kutongozana anasikia wivu unashinda kwenye ile nyumba wakati ulishatoka huko. Mimi sikanyagi labda kwa jambo la muhimu tu.

Ukiona hivo ujue upweke umezidi shost,naenda kupunguza mawazo kule
 
Heheee ngoja kagiza kaingie asiporudi nakuja huko
Njoo usigeuke nyuma utageuka jiwe la chumvi kumbe siku zote unamachungu moyoni ila leo yamekuzidia unaona sasa unavyopata shida ama kweli mficha maradhi kifo humuumbua hebu fanya haraka kabla haujaumbuka nikusitiri
 
Uran penzi lako liko kwenye kimbunga muda wowote maafa.
Valentina nenda chini ya mti eti Daudi anakwita akutoe upweke.
 
Njoo usigeuke nyuma utageuka jiwe la chumvi kumbe siku zote unamachungu moyoni ila leo yamekuzidia unaona sasa unavyopata shida ama kweli mficha maradhi kifo humuumbua hebu fanya haraka kabla haujaumbuka nikusitiri

Hahahaaaa,daaah!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom