Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Si uanze sasa unanijua mimi vizuri lakini.
Sikujui ila ntajifunza kukujua. Ila nawe ujiandae kujifunza pia.
Si uanze sasa unanijua mimi vizuri lakini.
Hahahahaa mmeachwa solemba. Ndio tatizo la kuwamendea wake za watu.
cc: Daudi1, Rich Pol
Kwani mimi na wewe tumeshamalizana?
Nilikuwa kwenye ukaguzi akili yangu bado haipo sawa, nikitulia nitakujibu wangu.
Ndani kuna mwanaume halafu unamuita tena uran unataka wapigane?
Kumbe upo ndani?