Patachimbikaaaaaa!!!!

Patachimbikaaaaaa!!!!

Si wewe, kwani nani alikuwa anamfukuzia Valentina kama siyo wewe best.
Natoa pole za dhati kwako best yangu, vumilia ndio mapenzi.
Hiyo kawaida sana mbona majaribu ni mtaji wa kuongeza imani,kwa hiyo mimi nimetumika kama jaribu ili kuimarisha upendo wao bila mimi kuleta amsha amsha jamaa angebweteka na bibie asingejua mwelekeo wake
 
Sasa ndugu yangu wewe ni Generator la diesel au petrol?
Aisee labda alikuwa anamaanisha mwingine maana anajua kabisa mimi siwezi kuwa jenereta ngoja hapa aniambia kuwa alikuwa ananirembulia macho umbe anataka kunifanya jenereta.
 
Aisee labda alikuwa anamaanisha mwingine maana anajua kabisa mimi siwezi kuwa jenereta ngoja hapa aniambia kuwa alikuwa ananirembulia macho umbe anataka kunifanya jenereta.

niliwaonya mapema sana! hamkutaka kunisikia hata kidogo.
oneni sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom