Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

Habari za leo wakuu.
Ninasumbuliwa na tonses(mafindofindo kooni)iliyoambatana na homa kali na kizunguzungu siku ya nne leo.Jana nimeenda hospitali nikapewa dawa ambazo nimeanza kumeza.kinachonishangaza ni kuwa bado nina homa kali na kizunguzungu.naomba ushauri wenu wakuu,nini tatizo?
 
Pole mwana jf,, lkn naomba uwe unafuatilia jf japo kidogo, kwani hoja hii tumeijadili sana siku tano zilizopita!!
Pamoja na hayo ni kweli tonses huwa inaambatana na homa kali sana , maumivu ya kichwa, na hata pengine kizunguzungu..
1/ umesema umeanza dozi jana ! Natumaini utakuwa umepewa antibiotic pamoja na antipain ? Na hakika kabisa kwa kufuata dozi na ukivumilia kutumia hizo dawa utapata nafuu na utapona , lkn kwa siku ya jana tu kuanza dozi si kigezo cha wew kuwa utapata nafuu kwa ghafla hvy.
2 cha msingi zingatia dozi na ujitahidi sana kumeza ant pain ( aspirin , au paracetamol kila baada ya masaa sita ili kukufanya uondokane na homa unayopata) na kama hz dozi hazitakusaidia daktari wako atakupa tiba nyingine zaidi ambayo nategemea itakuwa ni sindano ( cefriaxone, au panadul, benzyl penicillin) utapona kwa kufuata dozi , pole sana . Wataalam zaidi watakueleza.
 
wadau habari za kazi naomba anayejuwa gharama ya kuondoa tonsils kwa mtoto mdogo wa miaka mitano pale Muhimbili anijuze.
 
Mmh, sina hakika
Ila kuna ndugu mmoja aliwahi mpeleka mwanaye akaondolewa pale kwa Kairuki
Haiwezi kuzidi laki 5 nadhani.
 
kwa yeyote mwenye ujuzi wa dawa asili ya huu ugonjwa tafadhali nisaidie,kaka mzizi mkavu in advance
inategemea na sababu gani iliyokusababisha upate haya maradhi ya Mafindofindo (Tonsilitis). Ushauri mzuri ni kumwona daktari, hii ni kwasababu it is caused by many organisms including bacteria. Ni daktari ambaye anaweza

kutofautisha. Pia inategema kama ni mara ya kwanza au ni chronic. Nikiwa kama daktari wa magonjwa mimi sikushauri tu ule dawa tu au unywe maji moto. Kama yalivyo magonjwa ya njia za juu ya hewa ni vizuri kujiepusha kunywa Vitu

baridi. Ushauri mzuri ni kumwona daktari.

Pia unaweza kujaribu.

Hii dawa ya kienyeji mie naita five in one.

1) Glasi moja ya maji Safi ya kunywa.

2) Kijiko 1 cha Asali Safi ya nyuki wakubwa.

3) Kijiko 1 cha Uwatu iliyosagwa (Hilba) kwa lugha ya kiingereza inaitwa Fenugreek

4) Tangawizi (fresh)

5) Kipande cha ndimu

kisha zichanganye pamoja halafu chemsha kama unavyo chemsha chai, ngojea ipoe moto kidogo kisha unywe kama unavyo kunywa chai kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 au siku 7. ukipona nipatie feedback.
 
Pia ukitumia usiku muda wa kulala bila kupitisha kitu kinywani itakuwa poa zaidi
 
Cha kwanza naomba nikuulize ndo mara ya kwanza yamekutokea au ni moja ya magonjwa yanayokuandama?je kwenye family member yaani mnaokaa hapo home ni wewe tu au kuna mwingine?
Maana huo ni mmoja wa ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya hewa..so kama unakurudia rudia na majibu yako ya hapo juu yatakuwa ndio..acheni kupiga mswaki kwenye sinki moja..maana pale mnapotema hewa inawarudia...au kama ni tang kiss au kushare bed na mtu mwenye tonslais..kaa nae mbali til apone
then dawa ambayo itakusaidia kama hutaki hayo maantibiotics...ulizia magadi ya wachaga..nasikia wenyewe wanayaelewa unamix kijiko kidogo,kwenye kibakuli ulichokatavipande vya limao lililoiva like pudding..then put salt kiduchu..au unamix kwenye juice ya limao ukishindwa kula hayo ya kukata...then kula utaniambia
 
Jaman wanandugu naomba kuuliza dawa nzuri ya tonses ni ipi?wik sasa yananisumbua.nimeshamaliza doze ya apricose ndio yanazid
 
Ampiciline mkuu ni dawa tosha!! Ila dose yake sijui ukienda Drug store(Duka la dawa) watakuelekeza!
 
Mimi pia niliyatolea mbali. Sasa hivi full burudani, natafuna ice kabisaa.

Nakushauri urudi kwa dr aliekutibu, usijinywee madawa makali kabla hali ya mafindofindo haijaonekana ni mbaya kiasi gani
 
Back
Top Bottom