Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
mnaopost utumbo kaa mbali na Gold Momber, wote tutawa-track upitia namba zenu mlizo PM JF kupata hiyo status
 
Moderators .....

Nimeona na nitalipa....willingly na kuwatumia reference .....tupo pamoja kuchangia JF toka enzi hizo haina hata adverts na tunaendelea...tena Tanzanite membership ...bila ya kuwa Haja kutu black wash Kila tunapo Log In ...maana Siku hizi Kila ninao log in Nashangaa natolewa....that's is not fair kabisa....unless you explain otherwise ...was about to Quit!!!!

will send you reference later ...
 
Nilivyoona elfu 30 kwa tanzanite member niliona nitashindwa kumudu kwa kipato changu (nilizani kwa mwezi) kumbe mwaka mzima, sasa hivi nitakuwa tanzanite member, hata hamy D NTAMLIPIA
 
Utaratibu ni mzuri ila mtakuwa hamuwatendei haki na kuwanyonya members ambao kila kukicha lazima wadrop realable information at the same time nyie mnazichukua na kuwatumia watu ili mpate fedha.

Wekeni angalau motisha kidogo hata kwa zile fedha zinazopatikana kwa njia ya matangazo kama tiGO n.k kwa wale wanaooneka kuwa active katka kutuma post zenye kuaminika kwa mda fulani kwan naamin bila wao JF is nothing

Mkuu,

Motisha hutolewa kwa aina nyingi na si lazima pesa. Sasa kuna njia nyingi mtu ambaye unatoa reliable information unaweza tumia JF na ukapata kipato kizuri tuu. Ukishajijengea profile hapa na jina ambalo watu wataku-identified nalo. Ni rahisi uka-branch na kwenda kuandika katika magazeti na wao wakakulipa vizuri tuu. Usifikirie sisi tutakupaje hela, fikiria utatumiaje hii platform vizuri kwaajili ya maanufaa yako.

Kodi ni ngapi hapo Serikali itapata! ni lazima hii kitu ipewe mstari wa Mbele la sivyo mtakuja undiwa Zengwe Kubwa

Hii Tutaifanyia kazi

wekeni TIGO PESA tujiunge

Nimeweka Post ya kwanza number ya kutumia kwa wakati huu.

Moderators .....

Nimeona na nitalipa....willingly na kuwatumia reference .....tupo pamoja kuchangia JF toka enzi hizo haina hata adverts na tunaendelea...tena Tanzanite membership ...bila ya kuwa Haja kutu black wash Kila tunapo Log In ...maana Siku hizi Kila ninao log in Nashangaa natolewa....that's is not fair kabisa....unless you explain otherwise ...was about to Quit!!!!

will send you reference later ...

Mkuu,

Ni kweli unaweza ukawa unapata hilo tatizo lakini tutaweza kukusaidia vizuri zaidi ukitusaidia kutupa hizo reference tuweje kujua tatizo hasa ni nini. Pole sana kwa linalokukuta na sio kitu ambacho tunataka kitokee members wetu.

Please, Dont quit. We can work it out.

Nilivyoona elfu 30 kwa tanzanite member niliona nitashindwa kumudu kwa kipato changu (nilizani kwa mwezi) kumbe mwaka mzima, sasa hivi nitakuwa tanzanite member, hata hamy D NTAMLIPIA
Ponera Hamy D kashalipia ya kwake.
 
Last edited by a moderator:
Ni taadhari tu nimetoa kwani Kodi la lazima huwezi sema ni kitu kidogo mkuu... ndio sheria tulizojitungia no mjadala
Sijapinga
Am interested na sheria iliyo kali kukusanya kodi hadi kukausha watanzania.
Ila hakuna sheria ya kusimamia na kulinda matumizi yake.
 
Kwa hilo niko njian nazichanga ndani ya wiki tu nami niwepo jamani asanteni sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom