Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Na mimi mambo yakienda vizuri nitaweka hata hiyo Gold membership yakienda vizuri sana nitaongeza juu zaidi
 
Invisible j.tano ya wiki hii nikumbushe kupitia pm, nami ni wakati wangu wakuwa gold member wa jf! Inanoga sana kupata sms ya 'Welema kamuita Kafulila tumbili' lol!
 
Last edited by a moderator:
attachment.php


Heshima zenu wakuu,

Mwaka huu tunakuja na utaratibu mpya.


Tumeona ni busara kufuta level za premium membership zibakie mbili tu. Gold Member and Tanzanite Member. Gold itakuwa itakuwa Tshs 30,000/= na Tanzanite 100,000/=. Lengo kubwa hapa ni kupata wachangiaji wengi zaidi na kuepusha kuwachanganya watu ambao walikuwa wanashindwa kuelewa madaraja ya awali.

$35 Gold Member & $60 Tanzanite Member

Aidha, tumezindua huduma ya JF SMS Alert ambapo tutakuwa tunawatumia wateja wetu (Premium Members) ujumbe kwenye simu zao pale ambapo tunapata 'Breaking news' au Habari iliyokuwa na hadhi ya kuwafahamisha watu kwa haraka. SMS hii itakuwa na link ya kuja kusoma habari zaidi ndani ya JF; hakutakuwa na mipaka na wala hakuna makato ya ziada kwa Premium Members.

Huduma hii ya SMS Alerts utaweza kuipata katika mtandao wowote ule (ndani na nje ya Tanzania) kwa gharama ya kuanzia Tshs 30,000/= kwa mwaka.

Mwanachama akijiunga na huduma hii anakuwa Gold member pia na kupata UNLIMITED SMS. Na kama upo nje ya Tanzania ni Tshs 50,000/= kwa mwaka au ukichukuwa Tanzanite membership, utapata SMS bure (nchi yoyote).

Unaweza ukalipia na usiwekewe alama zozote, ukawekewa alama ya Premium Member tuu.

Namba za Kuchangia:

Njia ya M-PESA



1. Piga *150#


2. Bonyeza 4 (Pay Bill)

3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)

4. Weka 888888

5. Enter Reference No. (tumia 1234)

6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma)

7. Weka password yako na kisha utume.



Njia ya Airtel Money

1. Piga *150*60# Kisha chagua lugha
2. Bonyeza 3 (Lipia Bili/ Pay Bill)
3. Bonyeza 1 (Lipia Bili / Pay Bill)
4. Bonyeza 6 (Nyinginezo / Others)
5. Jina la Biashara/ Business name andika JamiiForums
6. Ingiza Kiasi / Enter Amount
7. Bonyeza 1 (Ndio/Yes)
8. Ingiza number ya siri / PIN
9. Kumbukumbu rejea / Reference number 1234


TigoPesa: 0712642929

CRDB Bank

Account Name: Jamii Media Company Limited
Account Number: 0150413278400
Branch: CRDB Waterfront


Kwa Kutumia Credit Card Online.

Gold Membership Bofya hapa ---
http://bit.ly/14skftw

Tanzanite Membership Bofya hapa ---
http://bit.ly/19E6itm
Ukishatuma, tuma PM kwenda kwa Moderator au Mike McKee receipt no. uliyoweka na jina lako unalotaka liwekewe Premium Membership au tuma email kwenda premium@jamiiforums.com ukituambia receipt number.

Nimejaribu kujiunga na GOLD MEMBERSHIP nimeshindwa, labda kwa kuwa Menu ya MPESA imebadilika. Naomba mu-update menu yenu kupitia hizi Mpesa Tigopesa etc, ili sisi ambao tunahitaji kuwa GOLD/TANZANITE MEMBER kwa sasa tusikose fursa kwa kasoro za kimfumo. Asante.
 
Wakuu, ni vigezo gani vinatumika kuweza kupata premium, au certified member wa JF, kwa maana mi nimekuwa member kwa miaka sita sasa, toka 2008 ila huwa napost mara moja moja sana, mara nyingi huwa nasoma tu post na comments za watu, na naona profile yangu imebaki kuwa vilevile member wa kawaida. nielekezeni!! na nini faida ya kupata hizo rank hapo juu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom