MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 746
- 791
Mwenye uhitaji wa Canal+ anicheck inbox, used like new. Bei ya ofa
Azam pia ipo( Kifurushi chake cha mipira ni 14k tuu)
Azam pia ipo( Kifurushi chake cha mipira ni 14k tuu)
Nakupa kwa 100k(Laki moja tu)Gharama zikoje
Azam Sports zile zote 5 zipo. Yaani, ni hiki hiki unachokijua cha kibongo, tofauti ni malipo tu. Ni kiswahiliIpo katika lugha gani? Na azam napata chanel ngap za azam
Installation cost na vifurushi vikojeNakupa kwa 100k(Laki moja tu)
Installation mafundi wengi sana wanaweza, akiwa na Sat finder, frequency nampa. Vifurushi ni 43kInstallation cost na vifurushi vikoje