Sasa mnunuzi atakuwa anakilipiaje? Maana hakuna kifurushi cha 14k kwa TanzaniaKifurushi cha mwezi, 14k(elfu).
Azam Sport zote 5 zipo.
Mwenye uhitaji aje inbox. Bei maelewano
Kinafanya kazi bongo yote? na je malipo analipiaje kifurushi.Kifurushi cha mwezi, 14k(elfu).
Azam Sport zote 5 zipo.
Mwenye uhitaji aje inbox. Bei maelewano
Ndio,ni kama cha hapa cha kawaida. Malipo ntakuelekezaKinafanya kazi bongo yote? na je malipo analipiaje kifurushi.
Hakuna kinachoshindikana mkuu, vipo watu wanavyo na wanalipiaSasa mnunuzi atakuwa anakilipiaje? Maana hakuna kifurushi cha 14k kwa Tanzania
Ujue inategemea na uchumi wa nchi.Mbona tz bei juu
Ujue inategemea na uchumi wa nchi.
Mfano kama Canal+ ya Rwanda na Burundi, bei ni ya nyanya. Lakini ukipewa ya Congo, gharama yake ni kubwa na kifurushi ni kile kile
Ndio. Kila kitu unachokiona, channel namba,vile vilekwahiyo kina channel zote kama cha hapa bongo?
Upo wap mzee babaKifurushi cha mwezi, 14k(elfu).
Azam Sport zote 5 zipo.
Mwenye uhitaji aje inbox. Bei maelewano
Eleza unalipiaje boss, yani unatumia njia gani ku bypass elfu 28 ukishakuwa na hicho kidude.Hakuna kinachoshindikana mkuu, vipo watu wanavyo na wanalipia
Sio kwamba unabypass mkuu, hapana. Nimesema ni cha nchi nyingine. Kwa hiyo, kulipia lazima upitie kwa agent au mtu mwenye namba ya nchi hiyo. Kama unavojua za Malawi,.....Eleza unalipiaje boss, yani unatumia njia gani ku bypass elfu 28 ukishakuwa na hicho kidude.
Kumbuka malipo hayaendi azam tv rwanda yanakuja azam tv bongo ambako ili wakuunganishe lazima wapokee 28k
Nicheck inboxUpo wap mzee baba